Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,816
EA0F5331-F508-49BD-BBCA-A1A4C82A5AA8.jpeg
EA0F5331-F508-49BD-BBCA-A1A4C82A5AA8.jpeg
EA0F5331-F508-49BD-BBCA-A1A4C82A5AA8.jpeg
EA0F5331-F508-49BD-BBCA-A1A4C82A5AA8.jpeg
EA0F5331-F508-49BD-BBCA-A1A4C82A5AA8.jpeg
Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya kutoka mazoezini
 
Me nasemaga Mane angekuwa ngozi nyeupe asingekauka midomoni mwa watu.
Vuta picha Mane ndio angekuwa mwingereza.
 
Labda sijaelewa au hii lugha inanipiga chenga but nilichoelewa mimi hayo ni maoni yake so hatutegemei majaji wote wafanane akili na Messi acheni kukuza mambo.
IMG_20191206_084001.jpeg
 
View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799View attachment 1282799Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya kutoka mazoezini
Ndiyo ,anaweza kupewa alafu akaja kuharibu, tabia za nje ya uwanja.
Ni sawa na mtu kama MAGUFULI umpe katibu mkuu wa umoja wa mataia, anavyo ropoka si ataharibu dunia
 
Hii ni award wanapeana miaka yote, mfano inayofuata atapewa CR7
 
Yaani Mane ni zaidi ya mesi na Ronaldo? ujjinga wa namna hii unapatikana africa tu ..
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!
 
Sasa yale ni mawazo ya Messi, Kila mtu ana mawazo yake..
 
Idadi ya wajinga wa Africa inaongezeka kupitia watu kama nyie! Yaani wewe unabishana na Messi ambaye kwa kinywa chake mwenyewe amekiri kwamba Sadio Mane ndiyo angepaswa kuwa mchezaji bora?
Binafsi namkubali sana Mane, recently he's my favorite player. Nakubaliana na mleta uzi kuwa rangi yake ndiyo sababu kubwa ya kuikosa hiyo tuzo ya mchezaji bora!
Amesema ni mchezaji anayempenda sio kwamba ndie alipaswa kuwa mshindi
 
Hakuna utata wowote nyie vijana mnateseka sana

weka statistics za Mane vs Messix vs Cr7 tuone nani amestahili
Mane kaiwezesha klabu yake ya Liverpool kuchukua klabu bingwa ulaya na kuifikisha timu yake ya taifa fainali ya mataifa ya afrika.

Vipi niongeze na nyingine.
 
Back
Top Bottom