africa

  1. Youth and Gender Officer at Focus Africa

    Youth and Gender Officer, Arusha Office About the Job The Youth and Gender Officer will be responsible for developing gender mainstreaming strategies, policies and creating gender awareness while developing gender initiatives that would position Focus Africa as a gender friendly environment. ...
  2. Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G. Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
  3. Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

    Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora...
  4. M

    Africa medics warn of India-like Covid surge

    Sijaona bado maagizo kuhusu sharti ya kuvaa barakoa, hasa kwenye mabasi, wakati wa kuingia katika majengo ya serikali n.k. Tanzania si serious, ila virusi ni serious! Soma hiyo (Citizen ya leo): 'Act now': Africa medics warn of India-like Covid surge Some countries, including the Democratic...
  5. Busiest Airports in Africa 2021

    BUSIEST AIRPORTS IN AFRICA 1-Johanneburg international Airport🇿🇦 188 Flights 2-Cairo Airport Egypt 🇮🇶 111 Flights 3-Addis Ababa Airport 🇪🇹99Flights 4-CapeTown Airports🇿🇦82flights 5-Lagos Airports🇳🇬78Flights 6-Cassblanca Airports🇲🇦 76Flights 7-Der er salaam Airport🇹🇿 71flights 8-Zanzibar...
  6. B

    Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  7. P

    A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu. Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani. Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa...
  8. Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
  9. Uhuru Launches One of a Kind Technology Factory in Nyeri

    President Uhuru Kenyatta on April 26, 2021, opened the Semi-Conductors Technologies (STL) factory on the 177-acre Dedan Kimathi University of Technology's Science and Technology Park (DeST-Park). The factory will manufacture integrated circuits and sensors as raw materials in the electronic...
  10. Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialist economy

    Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu. Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje. Habari zaidi: Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
  11. E

    Siasa za Muhindi na maendeleo ya Afrika? Tujiendeleze kikwetu kwetu

    Wazee wa Kwa nini unazani Kwa nini Iddi Amini Dada aliamuru kufukuzwa Kwa wahindi nchini Uganda!? Aliona nini!? Je hizo sababu hazipo Tanzania? Kwenye uongozi wake alipewa sifa duniani. Wahindi Wahindi Wahindi yawezekana mnapenda Sana kutafsiriwa... Wazee wa kutekeleza story mpo. Zilikuwa...
  12. What foreign aid means to Africa

    Foreign aid in Africa
  13. Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji. Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
  14. Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index. • Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika. • Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha. ✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
  15. K

    PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

    Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
  16. Haya ndo majina ya viongozi wa Africa

    Majina konki Sana , binafs nimeyaelewa😋
  17. T

    Nairobi ranked most innovative city Africa by Knight Frank report.

    https://africabusinesscommunities.com/news/nairobi-is-the-most-innovative-city-in-africa-knight-frank-report/
  18. R

    Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

    Nakuona ITV sasa umetoa sentensi hiyo kuwa wzungu wanaleta vitu vya sumu huku afrika deliberately ambayo nina uhakika you can not substantiate. Usitake "kuropoka" kama Jiwe. Humu ndani hatuna uwezo wa kuhakiki composition ya chanjo maana hata technology iliyotumika kuitengeneza sijui kama tuna...
  19. M

    Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

    Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…