Dah , sio poa!
Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...
Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.
Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
---
Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili.
18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF
World Health...
Natumai mko vyema ndani ya hili jukwa pendwa la Jamii Forums. Ngoja niende moja kwa moja kwenye shina la huu uzii.
Chapter 1 Namibia.
Toka mwaka uanze nilikua nimebanwa sana na majukumu ya utafutaji ukizingatia sisi tuliochukua njia za kujiajiri huwa tunapitia mengi sana wakati mwengine...
Lilongwe - Malawi.
Nakala ya Kwanza ya Kitabu Kipya Cha Hayati Rais Magufuli Kama kilivyoandikwa na Profesa wa Chuo kikuu Cha Hebron Nchini Malawi Prof Malango Chinthenga kimeuzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,450,000/= kwa Mwananchi wa Kawaida wa Malawi ambaye alijitokeza katika Uzinduzi wa...
Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho.
Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao.
Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
Kwenye kiwanda cha Hiphop Tumekuwa tukishuhudia vipaji vingi na uandishi mzuri wa mashairi.
Kuanzia kizazi Cha kina Tupac, rakims, jada, Jay z, eminem, Wayne na hata N.big.
👉Ambao wamekuwa wakitajwa Kama mafundi wa mashairi ya mazuri.
Lakini Leo nimeona tuangazie je ni Wana hip hop gani wame...
A unicorn is a privately held startup company with a valuation of over $1 billion. The term was first popularized by venture capitalist Aileen Lee in 2013. Unicorns are very rare, and there are only a few hundred of them in the world.
To become a unicorn, a company must have a number of things...
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara.
Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza.
Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba.
Official page ya CAF (cafonline.com) na social media zake zoote ukikuta habari ya Africa Super league bas ni ile ile...
https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade
Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao.
Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi.
Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
Utangulizi
Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
Unazi pembeni!!!
Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.
Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.