africa

  1. African unicorns: 9 most valuable startups in Africa you should know

    A unicorn is a privately held startup company with a valuation of over $1 billion. The term was first popularized by venture capitalist Aileen Lee in 2013. Unicorns are very rare, and there are only a few hundred of them in the world. To become a unicorn, a company must have a number of things...
  2. B

    Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  3. T

    Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  4. Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  5. Kwanini hakuna habari za Afrika super league kwenye vyanzo rasmi vyote

    Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba. Official page ya CAF (cafonline.com) na social media zake zoote ukikuta habari ya Africa Super league bas ni ile ile...
  6. K

    Kwanini MOU za DP world za hivi ni kwa Africa tu. Uingereza mbona hawana!

    https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao. Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
  7. Bara la Afrika, Maajabu Makubwa ya Viongozi na Watu wao

    Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi. Huyu akichaguliwa na kupewa vyeo hivyo anaachagua naye watu wa namna yake ambao watatenda kama yeye...
  8. Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
  9. SoC03 Namna Baadhi ya Viongozi Wanavyogeuka kuwa Chanzo cha Migogoro Afrika

    Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
  10. M

    Ushabiki pembeni: Mayele hastahili kucheza soka barani Afrika, atafute mawakala wazuri wa kumvusha

    Unazi pembeni!!! Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika. Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
  11. Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
  12. N

    Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  13. B

    Kwa Afrika ukiona Chama au Kiongozi amedumu madarakani ni kwa sababu anauza maliasili za nchi kwa mabeberu

    Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga. Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe. Mikataba ya Siri, vikao vya siri, chaguzi haramu, mikopo ya kumwaga. Ili kuepuka mtego huo Kiongozi au Chama chake ni lazima kichague njia...
  14. Kenya's trade surplus with Africa hits record levels

    Kenya’s goods trade surplus with Africa reached record levels in the first three months of the year driven by the fastest growth in exports for 12 years and a first fall in expenditure on imports in three years, official data shows. Traders sold goods worth Sh98.85 billion to African countries...
  15. B

    William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  16. YOUNG AFRICA 2023 is unforgettable ever ever ever...

    Natumaini wote ni wazima humu.. Nafurahi sana kuwa mshabiki wa yanga. Popote napopita natembea kishujaa kwa kuwa yanga. Mafanikio yaliyopata yanga msimu huu kifedha na kuwakilisha tanzania ni makubwa mnoo. Big up ziende kwa viongozi wetu. Wachezaji wetu. Benchi la ufundi. Nawapa pongezi...
  17. Afrika itaendelea siku itakapoacha kupewa misaada toka nje

    Ukitaka kumfanya mtu kuwa masikini ili umtawale mpe pesa.Ukiona mtu anakupa msaada hakupendi na hataki ujitegemee. Zamani wazee wa kichaga Mtoto akimaliza darasa la Saba anafukuzwa nyumbani kwa kuambiwa mkataba wako umeisha wa kula na kukaa hapa nyumbani, hii ili wapush wachaga wengi kupambana...
  18. S

    Aishi Manula afanyiwa upasuaji Afrika Kusini

    Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦 Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
  19. Zijue nchi za Africa na majina yake bandia

    Some AFRICAN Countries and Their Slogans! • South Africa – Rainbow Nation 🇿🇦 • Rwanda – Land of a Thousand Hills🇷🇼 • Madagascar – The Red Island 🇲🇬 • Lesotho – The Kingdom In the Sky 🇱🇸 • Egypt – The Gift of the Nile 🇪🇬 • Burkina Faso – Land of the Upright Men🇧🇫 • Ghana- The gateway to...
  20. Nipo Tayari kukosolewa: Hadi sasa Hakuna mtandao maarufu uliopangika zaidi ya JamiiForums kwa nchi zote za Sub saharan Africa

    Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi, Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…