Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia.
Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida.
Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
Habari za Jumapili Wanabodi,
Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote
Sote tumeona jirani yetu Kenya anavyonufaika na msimamo wake wa wazi wa kuegemea upande wa Magharibi (West) ambapo...
Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja.
Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado naamini ni Genius licha ya kwamba ameshindwa kuishi na wanawake kwa kutajarisha zile background music...
Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2.
Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana.
By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru
Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo.
Kwa utajili wa Africa, wazungu...
Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa.
Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC.
Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii.
Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.”
Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa.
Sasa labda tujiulize WHY?!
Na Je ni kweli?
Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue?
As what am seeing tunapoelekea hata...
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu
Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza
1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿
2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿
3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote
4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha
Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.
Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.
Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi.
Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
https://m.youtube.com/watch?v=gRXjD7RXTPk
George Ayittey is a Senior Fellow at the Independence Institute; Founder and President of the Free Africa Foundation; and formerly a Distinguished Economist in Residence at American University. He is the author of numerous op-eds for the New York Times...
Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi.
Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni...
Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya...
World Poverty Statistics 2024
Facing the harsh reality of extreme poverty, over 700 million individuals globally survive on under $1.90 per day, a crisis that disproportionately affects children. The goal to eradicate this by 2030 underlines the vital global effort of Sustainable Development...
Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT
Soma Pia:
Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.