Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili!
Nchi ipi kati ya hizi? DUBAI, CHINA, UTURUKI, au SOUTH AFRICA?
Kwa nini?
Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia.
Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia nchi yake kufika mbali. Kwenye makaratasi wana hotuba tamu kuliko asali. Kwenye utekelezaji ni...
We’re curious: How do you see AI transforming businesses in Africa? Whether it's smarter customer service, efficient farming, or better shopping experiences—we want to hear your vision!
Share your thoughts, photos, or videos showing how tech is shaping your world.
Maelezo ya Nyumba:
Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana.
Nyumba ipo mbweni JKT.
Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201.
Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake.
Kuiona nyumba no nakupeleka na...
Salaam wanajukwaa
Nimekutana na hii taarifa kutoka mtandao wa X kwamba CHADEMA imeondolewa kwenye huu umoja wa DUA, Democrat Union Africa, na inaonekana taarifa pia imechapishwa na JamiiForums lakini kwenye account zake sijakutana nayo, naomba kufahamu uhalisia wa hii wakuu.
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Kiukweli ndugu wa Afrika naandika bandiko hili sio kuwa mimi ni mnazi hapana ila inaniuma kusikia kuwa ndugu zetu wanaenda Israel kuhiji au Mecca siku gani utakuja kusikia kuna papa mweusi? hautakuja sikia milele
Hao wanaosema kuwa Afrika ni masikini ndio ila hawajui hadi sasa kuna nini...
Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi...
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu.
Karibuni sana.
Imagine a world where a farmer in Uganda or Tanzania predicts the perfect time to plant his crops, a student in Kenya gets a world-class education through her smartphone, and hospitals in Nigeria diagnose patients faster and more accurately, all thanks to artificial intelligence (AI). While it...
Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask.
Leo miji...
Vilabu vya kiarabu hasa North Africa vimekuwa vya hovyo sana,naweza kusema wenye mpira mzuri ni Al Ahly tu, kupaki basi sio tatizo ni mbinu ya kujilinda hasa unapozidiwa,lakini kupoteza mda kuanzia kipindi cha kwanza ni ujinga, waarabu wanapenda kujiangusha angusha hata kama...
Africa Cannot Be Left Behind in the AI Revolution
Artificial Intelligence (AI) is no longer just a buzzword or a futuristic concept reserved for the world's most developed nations. It is here, driving profound change in industries from healthcare to agriculture, reshaping societies, and...
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.
Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside.
Nawasilisha.
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii.
Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na ili uongezeke zaidi ni kufanya nn
Anaongea na hao watu wa statistics wanaisha uwongo Kisha matajiri na makampuni yananunua hiza...
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.