africa

  1. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Facts about Africa: Four countries dominate every sector - Nigeria, South Africa, Morocco & Egypt

    (1) Largest country in Africa by land mass - Algeria 🇩🇿 2) Largest country in Africa by population - Nigeria 🇳🇬 3) Largest movie industry in Africa - Nigeria 🇳🇬 4) Largest democracy in Africa - Nigeria 🇳🇬 5) Richest Black man - Nigerian 🇳🇬 6) Richest African woman - Nigerian 🇳🇬 7) largest...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

    Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu? Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo chaotic ni miji inayovutia Mfano angalia mji wa Seattle, Marekani Lakini ukiangalia Africa miji...
  5. JamiiForums Tanzania Africa: Tanzania’s Tourism Sector Hits $4 Billion, Surpasses Gold as Top Forex Earner

    https://atqnews.com/africa-tanzanias-tourism-sector-hits-4-billion-surpasses-gold-as-top-forex-earner/#:~:text=Africa:%20Tanzania's%20Tourism%20Sector%20Hits,Top%20Forex%20Earner%20%7C%20ATQ%20News
  6. JamiiForums Tanzania Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Sharpeville, South Africa

    Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre The Sharpeville massacre occurred on 21 March 1960, when police opened fire on a crowd of people who had assembled outside the police station in the township of Sharpeville in the then Transvaal Province of...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote Africa

    Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote africa. Lazima uchaguzi ufutwe , mateka waachiliwe, katiba mpya, wauwaji wafungwe minyororo kichwani miguuni na mikononi kila aliyehusika. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi!
  11. JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini kuhusu Radio Free Africa Mwanza, Hizi zilikuwa Enzi halisi za Kusikiliza RADIO

    Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali! Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania. Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇 Orodha ya...
  12. JamiiForums Tanzania Monitoring and Evaluation Officer at Amref Health Africa November 2025

    Company Description Amref Health Africa – Tanzania is a non-profit public health organization supporting the Government of Tanzania to address public health issues including maternal and child health, HIV, TB, Malaria, and Nutrition in Tanzania 1987. Amref Health Africa in Tanzania is funded by...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Muonekano wa barabara eneo la Sinza, Africa sana baada ya mvua kubwa

    Muonekano katika eneo la Sinza, Africa Sana mara baada ya mvua kubwa kunyesha.
  15. JamiiForums Tanzania Firstpost Africa: African Union exposes Tanzania ballot stuffing.

    Hahaaa hawa jamaa hawamwachii huyu Rais haramu. https://youtu.be/rWW8Nhw6LEY?si=hs4UM_4mV7Bo1E-v
  16. JamiiForums Tanzania The United people of Afrika

    #Unitedpeopleofafrika.org Vision Empowering Africa Together as a United Continent. Mission To unite the people of Africa 🌍 Greetings to all good people of Africa 🌍 We are so grateful for what's Unveiling in Africa 🌍 especially in countries that were captured by Dictators I Godfrey Matovu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s Election Exposed a Dangerous Silence Across East Africa

    There is something profoundly disturbing about what just happened in Tanzania and perhaps even more disturbing about how the region responded to it When President Samia Suluhu Hassan was declared to have won 98% of the vote, it was not just an election result; it was a loud alarm bell for...
  18. M

    JamiiForums Tanzania East and Horn of Africa Election Observation Network (EHORN) statement on Tanzania 2025 Elections

    PRELIMINARY STATEMENT ON THE 29 OCTOBER 2025 GENERAL ELECTIONS IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Today, 31st October 2025 – In line with its mission to promote credible, peaceful, free, and fair elections through impartial regional observation and analysis across the East and Horn of Africa...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini udikteta umeshindwa kuleta maendeleo Africa?

    Kwa nini Africa udikteta umeshindwa vibaya sana kuleta maendeleo endelevu na utulivu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…