connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Toa taarifa kamili kama vile nawe ni msomi au una ukaribu na huyo msomi?Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Gerald amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO. Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
PumbaToa taarifa kamili kama vile nawe ni msomi au una ukaribu na huyo msomi?
- alitoka wapi kwenda wapi
- Chanzo cha ajali ni nini
- Amegonga? Amegongwa? Amegongana? Gari limepinduka?
- Alikuwa anaendesha? Anaendeshwa?
- Alikuwa na gari la ofisi au binafsi?
- Muda wa ajali?
- Msiba uko wapi
- Mazishi wapi
Na kutabasamu kote kwenye picha bado kimemchukua....
Kweli nothing is permanent..njia yetu ni moja.. pumzika
CrapToa taarifa kamili kama vile nawe ni msomi au una ukaribu na huyo msomi?
- alitoka wapi kwenda wapi
- Chanzo cha ajali ni nini
- Amegonga? Amegongwa? Amegongana? Gari limepinduka?
- Alikuwa anaendesha? Anaendeshwa?
- Alikuwa na gari la ofisi au binafsi?
- Muda wa ajali?
- Msiba uko wapi
- Mazishi wapi
PumbavuPumba
Exactly 💯 ndugu
🥺🥺🥺🥺 duhJe alitia nia kugombea Ubunge kupitia ccm?
Vifo vitokanavyo na ajali vinauma SanaHatma ya kila mwenye mwili...