afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard Marcinko: Mwanzislishi wa Seal Team Six afariki akiwa na miaka 81

    Richard Marcinko, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 81, aliweka alama yake katika jeshi la Marekani kama kamanda mwanzilishi wa Seal Team Six, mojawapo ya vitengo vya vya mafunzo ya hali juu Marekani ambavyo baadaye vingefanya uvamizi hatari dhidi ya Osama Bin Laden. Mkongwe wa Vita vya...
  2. TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  3. Ajikata uume kisa urijali

    Chemba. Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali...
  4. K

    TANZIA Sani Dangote afariki dunia

    Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote died in the United States Sunday after a protracted illness, PREMIUM TIMES learnt. Relatively less...
  5. Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

    Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi. Ni...
  6. M

    Bilionea mwingine afariki kwenye ajali ya ndege Marekani

    Mzuka wanajamvi! Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi. Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa. The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
  7. S

    TANZIA Professor Frank Chiteji afariki

    Professor Frank Chiteji amefariki dunia. Tumetoka mbali pamoja. Nilifahamiana naye kwa miaka mingi sana tangu mwishoni mwa miaka ya sabini alipokuwa mwanafunzi Michigan State University pamoja na Issa Kaboko Musoke, mwandishi wa habari Daily News na baadaye professor UDSM. Chiteji na Musoke...
  8. TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko. Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW. === A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died...
  9. TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  10. Gwiji la mauaji ya kimbari Theoneste Bagosora afariki gerezani

    Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali ambako alikuwa akitumikia kifungo. Théoneste Bagosora, mwenye umri wa miaka 80, alikuwa afisa wa...
  11. Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  12. F

    TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
  13. TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

    Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe, (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Msiba huo umetokea ikiwa...
  14. TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  15. TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania...
  16. B

    TANZIA Jaji Haji Omar Haji afariki dunia

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar. Jaji Omar Haji Mazishi yalihudhuria halaiki kubwa ya watu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali, mahakama na vyama vya...
  17. TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  18. TANZIA Mohamed Rashid Musa, Diwani kata ya Likombe afariki dunia

    Diwani wa Kata ya Likombe iliyopo Wilaya ya Mtwara, Mohamed Rashid Musa amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 9 saa mbili asubuhi. Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara, Eliud Shemauya ameiambia Mwananchi kuwa diwani huko amefariki katika Hospitali ya Mkoa ya Ligula alipofikishwa jana Septemba 8, 2021...
  19. Bondia afariki Dunia baada ya kupigwa ‘KO’

    Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni. Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki dunia Zapata mwenye umri wa miaka 18, alipigwa ‘Knocked out’ raundi ya nne dhidi ya bondia Marie Pier...
  20. TANZIA Maalim Seif Mohamed Azzan afariki dunia, alikuwa mbunge wa zamani wa Pandani na muasisi wa mageuzi

    Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na demokrasia ya vyama vingi. Maalim Seif Azzan amewahi kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…