Afande Mutafungwa katupiga au kapigwa?

Afande Mutafungwa katupiga au kapigwa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,315
Reaction score
859,846
Machache kuhusu mamba

Ingawa mamba ana meno mengi na yenye nguvu, meno hayo hayajajengwa kwa ajili ya kusaga au kutafuna chakula; badala yake, hutumika kwa ajili ya kukamata, kushikilia, na kurarua mawimagumu

Hapa kuna mambo muhimu kuhusu jinsi mamba anavyokula:
Kumeza Mazima: Kama windo ni dogo (kama samaki au ndege mdogo), mamba hulimeza zima.

Kurarua (Death Roll): Kwa mawindo makubwa, mamba hutumia mbinu ya kujizungusha kwa nguvu (death roll) ili kurarua vipande vikubwa ambavyo anaweza kuvimeza bila kutafuna.

Kusaga Tumboni: Ili kusaidia usagaji wa mifupa na nyama ngumu aliyomeza, mamba humeza mawe madogo (gastroliths) ambayo hukaa tumboni na kusaidia kusaga chakula hicho.

Tumboni Kuna Asidi Kali: Mamba ana asidi kali sana tumboni mwake inayoweza kuyeyusha hata mifupa na magamba magumu ya mawindo yake.

Baada ya hayo machache sasa msikilize kamanda

TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Mshana bwana,

Hilo linawezekana kwa njia zisizomithilika kisayansi wala kikawaida

Wapo waliotemwa na chatu, wapo waliochomoka kwenye sehemu ambazo hazina historia ya mtu kuchomoka pindi afikapo, nk

Kikubwa lifuatiliwe kiundani tu ili kubaini ukweli wake maana siku hizi sham events ni nyingi mno ili watu kufikia malengo yao
 
Sibishi kabisa ila siku hizi kuna utapeli na mazingaombwe mengi sana hasa taarifa inapotolewa na hawa jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom