afande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

    Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017.... Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SACP Engelbert Kiondo - Kamishna mwandamizi msaidizi wa polisi anatakiwa kuwa IGP

  3. R

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, hakuna anayekuunga Mkono

    Kwa matamshi yako ya juzi na ulivyolishughulikia suala la marehemu Hamza, hakuna anayekuunga mkono. Kila mtanzania mwenye akili, mpenda haki, ukiacha wanaojikomba wapate mlo wao (wanafiki), watu wema, wapenda haki wanakulaani kwa matamshi yako. Unaonekana kuwatetea mapolisi pamoja na kuwa...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Askari wa Kituo cha Polisi Mabwepande wadaiwa kuwapora vijana wa bodaboda pesa

    Nilichokiona jana na leo hapa Boko Magengeni ni aibu kabisa. Askari walikuja na defender wakashuka na kuwavamia vijana waliopaki pikipiki zao za biashara. Mara tukasikia wanauliza “we una sh. ngapi??” Abiria wote tuliokuwa pale tulishangaa. Yaani inashangaza, hadi buku 3 askari anachukua. Kama...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

    "Awamu ya tano Zito Kabwe alikuwa anapinga kila kitu hata yaliyokuwa ndani ya Ilani ya Chama chake,leo yupo kimya pamoja na maswahibu yote yanayowapata wananchi kwenye Kodi za umauti za Miamala ya simu pamoja na viongozi wenzake wa kisiasa kama Freeman Mbowe " Afande Sele
  6. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Afande Bageni akwama tena; Ombi: Asinyongwe

    Jaribio la pili la aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Christopher Bageni kujinasua na adhabu ya kunyongwa, baada ya kutiwa hatiani kwa kuwaua wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi, limekwama katika Mahakama ya Rufani juzi. Mahakama hiyo ya juu kabisa nchini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani alishagonga afande humu?

    Katika mazingira gani? Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Back
Top Bottom