adui

Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.

Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:

1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)​

Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
  • Mfano: "Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Adui wa taifa sio Ujinga, umasikini na maradhi, bali ni ni lishe

    Aliyebuni kula liugali kubwa na kamboga kadoko au wali lumbesa na tumaharage kidogo ndio katufikisha hapa. Tunakula ili tujaze tumbo sio kushibisha seli hai kwa virutubisho jengefu. Watu wengi tunashiba tumboni lakini seli za ubongo na za maamuzi ya msingi zinalala njaa kila siku. Matokeo yake...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii. Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa

    Lugha hizi ndizo tunazozielewa: Hizi ndiyo zile lugha za watu zikiitwa lugha za Mungu. Beberu akiziita: "Languages of the people." Hizi humfanya adui macho kumtoka mithili ya mjusi alobanwa na mlango. Kwamba ni mpigania haki? Mzalendo? Mwenye kukerwa na ghiliba za majizi? "Ushindwe vipi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia mjue adui yako, hao wenye ndoto za urais watakukwamisha tu

    Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako. Moja ya mambo yaliyomfanya...
  5. JamiiForums Tanzania Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu: Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ama rafiki wa kudumu na bora mara mia ya Magufuli kuliko majizi haya

    " Siasa ni sayansi ya sanaa na huenendana na nyakati. Ndiyo maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu vilevile. " Magufuli pamoja na mabaya yake lakini hakuwa mwizi na mgawa rasimali zetu kama Mkapa, Kikwete na huyu mwizi wa sasa. " Magufuli kamwe asingekubali kuuza bandari...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  10. JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwafrika kwa sasa ni vyama vya siasa vinavyotawala

    Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juujuu. Humfahamu vizuri na unasema ni adui yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wazo la Siku: Usifurahie Adui yako aangukapo

    Katika WAZO LA SIKU lililotangulia, tuliona umuhimu wa kuitafuta Furaha, na kuwajali wengine kama malengo muhimu sana kwa Mwaka unaoanza. Kwavile furaha ni muhimu katika maisha yetu, kamwe tusiifurahie huzuni ya wengine hata ya Adui zetu. Kama unavyoihitaji FURAHA, basi JALI na furaha ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikumuomba, aliniruhusu nilale na mkewe ila ghafla kawa adui yangu

    Habarini wakuu.Nahitaji msaada. Mwaka huu mwezi wa kwanza,nikiwa nimetulia katika mgahawa fulani ulio na lodge kwa pembeni huku nikishushia msosi wa jioni,kuna jamaa alinifuata kwenye meza yangu.Huyu jamaa kwa makadirio ana umri wa miaka 37-40, basi nikiwa sina hili wala lile jamaa akanipa hai...
  17. JamiiForums Tanzania Adui wa Taifa ni nani? Je, ni wapendwa wetu waliokufa au ni Ujinga, Maradhi na Umasikini?

    Utamaduni wa Mtanzania umebomoka nani asimame mahali pale palipobomoka na kupajenga tena,nimeona maridhiano kwa watu fulani lakini maridhiano hayajafika kwenye dhihaka,kashfa na shutuma kwa wapendwa wetu waliokufa,tuliozaliwa mwaka 1980 tulikuta utamaduni mzuri wa Watanzania,tulishirikiana...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

    Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia. Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema. Hii movie...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapinga BBT ya Bashe

    Rais mmoja wa Marekani wakati wa mradi wa Tenesee Dam Construction aliwahi kukumbwa na upingwaji mkubwa sana na watu mbalimbali juu ya mradi ule, lakini wengi ya walio ukosoa ilikuwa ni uwoga tu. Akasema "The only thing to fear it's fear itself". Ni kweli na kila Marekani anajua umuhimu wa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wetu ndio adui yetu

    Nawasalimu ndugu zangu, nimekuwa kama msomaji wa hili jukwaa kwa miaka kumi Sasa, na Leo nikaona Bora niwe mwanachama, namimi walau kwa uchache wa uelewa wangu nitoe mchango wangu. Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema “we become adapted to the lack of use of our basic human resources as a results...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…