Huenda Umasikini, Ujinga na Maradhi siyo adui yetu ila Bepari na Mapembe yake

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,995
"Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu," nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kusota katika mfereji wa ujinga na utapali wa viongozi wa kidunia (kizungu) ambao ni chanzo cha umasikini wetu just imagine umenitawala miaka takribani 50 halafu ukanipa uhuru na bado unanipa masharti ya kuishi (ujinga mtupu).

Viongozi walivyo mabogust still celebrete indipendance day and they delicate it to the fomer (founders of indipendence) bila kufata misingi ya Ujamaa ambayo ndiyo best approach ya Afrika na binadamu kwa ujumla, tutaendelea kuchungwa na kuendeshwa kama mbuzi (hawana akili).

Umasikini, Ujinga na Maradhi ni laana ya ukoloni, tuwakemee kama Magufuli alivyokemea.
 
I love this post. I showed this post to my family, and they also loved this post. We bought a projector and showed this post to the whole neighborhood, and they also loved this post. Our lives have changed because of this post. We are grateful to you for this post. Thank you so much for this post.
 
Back
Top Bottom