Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.
Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:
1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)
Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
Mfano:"Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia.
Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy.
Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake.
Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
Ona sasa Tayari Mwabukusi kwa kauli yake juu ya kauli ya SLOWSLOW bin MIFUMO.....KASHAKUWA ADUI wa Wazee wa (NO "LEFORM" NO "ERECTION") 😁😁😁😁 maana hawa jamaa bhana akili zao🙌
Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu na suluhisho la matatizo?
Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana.
Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo...
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
ADUI YAKO HATARI AKIFA WEKA SHEREHE. NI MILA POTOVU KUZUIA WATU wasifurahie VIFO VYA MAADUI ZAO HATARI. NI JAMII YA KINAFIKI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mimi siku nikifa, kama nilikutesa, nilikudhulumu, niliitesa familia yako, niliharibu Maisha yako. Siku ukisikia Nimekufa kwako weka...
Habari zenu wanajamvi wenzangu!
Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako, lakini dunia, familia, au hata uoga wako mwenyewe ukasimama kati yenu? Umeshawahi kujiuliza "what if?"...
Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.
Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi
Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine .
Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena .
Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
Katika vitu ambavyo mpaka leo nimejikuta watu wakinionesha wazi hata kabla kuoneshwa kuwa ni adui zangu uwa na ziona wazi wazi hata kabla kuoneshwa wazi.Ijalishi sehemu gani yani na waona wazi wazi hata kama ananijua au kutonijua..
Ili fumbo linanipa wakati mgumu sana na kunifanya niwe na tabia...
UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
* Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha?
Maisha yanahitaji Malengo, malengo huhitaji Mipango na mikakati, Mikakati huhitaji Focus, nidhamu. Nidhamu...
Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe. Kinachotokea sasa ni mwangwi wa mshindo mkubwa ambao umeshatolewa. Chama cha Mapinduzi kinaishia...
Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri.
1. Endapo kuna mtu unayemjua kukuwinda kwa Bunduki au kisu
(When someone you know chasing you with a Gun or knife)
~Haijalishi mtu huyo unamahusiano gani mazuri ni rafiki au ndugu yako, kaa ukijua ana mpango mbaya juu yako, maybe akutumie kwa manufaa yake...
Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga.
Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu
Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia
Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote
Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
Wakuu
CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.