adui

Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.

Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:

1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)​

Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
  • Mfano: "Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Adui yetu sio ni CCM sio Uislamu

    Naona Kuna wapumbavu wameanza kupotosha Gwajima ameanza kupewa kesi za madawa na Magufuli lakini alishinda. Na Magufuli mpaka akampa ubunge!! Kuna wajinga wanasema Gwajima mbona anajitokeza Sasa kwa sababu Samia ni muislamu Hawa naweza waita wajinga Gwajima hajawai kunyamazia uhuni wa CCM...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Adui wa Taifa Karne ya 21 siyo lazima aje na Vifaru, huja kwa njia za Kuvuruga Amani kwa Magenge ya Wanaharakati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii. Akizungumza...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Kifungu 107 B cha Katiba kinazuia mahakama ya Tanzania kuingiliwa na chombo chochote na hivyo kuwa huru kimaamuzi. Leo hii Lissu akiachiwa wapo watakaojiuliza jee mahakama haijaingiliwa na Azimio la bunge la Ulaya katika kufanya maamuzi?? Wajuzi wa Sheria Pascal Mayalla njooni mjadili
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Adui wa Muungano ni adui wa Taifa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa tarehe 26 Aprili 1964, wazee wetu walichanganya udongo kama ishara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hatua iliyozaliwa taifa moja la Tanzania. Ameongeza kuwa vizazi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maswa:Kiongozi anayeingilia majukumu ya Walipafedha ni adui wa Maendeleo.

    Katika nchi inayohitaji maendeleo ya haraka kama Tanzania, kila sekunde ya ufanisi ni hazina, na kila senti ya umma ni dhamana ya kizazi kijacho. Walipafedha wa taasisi za serikali wamewekwa kwa dhima ya kuhakikisha rasilimali hizi zinasimamiwa kwa weledi, kwa mujibu wa sheria. Lakini leo...
  10. Akotia

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Chuma, Mwenye Moyo wa Dhahabu,Tusimfanye Adui kwa Sababu ya Neema Yake

    Wana JF Wakati mwingine, tunahitaji siasa za kimya. Siasa zenye kutafakari, kusamehe, kuponya, na kujenga. Dunia imejaa kelele, vurugu, na giza . Tanzania bado ni kisiwa cha amani. Hii si bahati. Ni hekima ya viongozi wetu na kwa sasa, hekima hiyo imevaa sura ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kuna...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha

    Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali. Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alisema: Katiba yetu ya CCM ya mwaka 1977, Ibara ya 5(4), inataka tuwaenzi waasisi wa taifa...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pelicans: Adui wa viumbe vyote

    Hachagui habagui... Kiumbe chochote hai anachodhani ana kimudu lazima atajaribu kukimeza kwa kutumia domo lake kubwa linalotanuka kwa namna ya ajabu
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea reciprocal tarrifs alizopigwa China lakini hawaongelei 0% tarrifs kwa Russia na North Korea ambazo husemekana ni adui mkubwa wa USA

    Trump kachemka hapa, alijua kabisa moto wa China sio wa kitoto ila bado anaendelea kuupima. Alijua kwamba endapo angewapiga pia Russia na North korea hizo tarrifs kisha Wote kwa pamoja wakajibu basi USA ingepumulia mashine. Ili kutimiza tabia yake chafu akaona aanze na china kwanza huku urusi...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukueni hii bado mbichi....Refa keshachukua chake, ila kauliza mna Fowadi ya kufika mara 3 kwa Adui 1st Half tu ili niminye na kama hamna msinilaumu

    Na nilichompendea Referee kasema ataachia Offsides Tatu tu Kipindi cha Kwanza na zikipita wasije Kumlaumu kawauwa. ANGALIZO Sijamtaja hapa kabisa Referee wa Mechi ipi na lini sasa Wewe jifanye umo sana Akilini mwangu uingie 18 zangu Uyakoge.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

    Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free will inafanya kazi amemuachia malaika huyo tuliyembatiza majina mengi tu likiwemo jina la SHETANI...
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Je wamjua adui wako

    Je wamjua Adui yako . Kumbuka Wewe ni roho. Roho haifi ,inaishi milele yote , Adui yako ni Mwili na Nafsi. Mwili na Nafsi ni marafiki. Mwili na Nafsi huenda kinyume na roho inavyotaka. Mwili unapenda majivuno,mwili unapenda kula ili ushibe,mwili hupenda ubinafsi na vyote vya mwilini,mwili...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.chunguzeni wale wanaotaka waishi wote sawa

    Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana. Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa. Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
  19. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  20. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
Back
Top Bottom