abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  2. T

    JamiiForums Tanzania LATRA mnafahamu kwamba mabasi ya Arusha- Moshi hayatoi tiketi kwa abiria?

    Mimi nipo eneo hili la Ukanda huu wa Kaskazini- hasa mikoa hii ya Arusha na Kilimanjaro kwa muda fulani. Kwa muda mfupi ambao nimekuwa huku, nimesafiri kwa nyakati tofauti kwa mabasi madogo (maarufu kama Coaster kwa wenyeji wa huku) kati ya Moshi - Arusha na Arusha- Moshi lakini cha kushangaza...
  3. JamiiForums Tanzania Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

    Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma? Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kununua mabasi ya kusafirisha abiria mkoa mmoja hadi mwingine

    Palipo na nia pana njia Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kuwa na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria. Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti ipi ambayo ina uhitaji mkubwa wa mabasi au ruti ipi ambayo nitapiga hela kisawasawa. Baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi aliyeleta wazo la pikipiki kutumiwa kama usafiri kwa abiria

    Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria. Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo pongezi nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Pikipiki bila vioo vya pembeni (side mirror) ni hatari kwa abiria!

    naona hili nalo ni tatizo!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli. Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva na abiria wa bodaboda (mikasa, matukio, changamoto na ngekewa)

    Habari ya weekend JF members, Mimi mzima wa afya na mwenye changamoto ya kiafya nampa pole na kumuombea apone arejee katika majukumu ya kulijenga taifa mama Tanzania.Pole zangu pia ziwaendee kwa walioguswa kwa namna moja ama nyingine kwa hukumu ya nyundo (30 yrs behind the bars) iliyopitishwa...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaj ya Abiria Inauzwa, Jijini Mwanza

    Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano: 0713096076
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
  12. JamiiForums Tanzania Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

    Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

    Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi. Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa. Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dereva wa treni ya abiria hupataje taarifa kama kuna dharura au hatari ili aweze kusimama

    Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

    Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

    Miaka nenda rudi Njia ya Dar es Salaam - Mbeya ndio imekuwa njia ambayo ni gumzo kwa mabasi yake kwenda mbio. Umbali wa safari ni zaidi ya kilometre 800, na njia imekuwa ikipita kwenye Milima mikali, kona kali, mbuga ya wanyama, hali ngumu ya hewa Ikiwa ni Pamela na uwepo wa ukungu mzito na...
  18. JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

    Kwema ndugu zangu, Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini. Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi. Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au? Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
  19. JamiiForums Tanzania Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald...
  20. JamiiForums Tanzania Suala la Kushusha abiria wote Mbezi Litazamwe upya

    Nawasilisha maoni haya kwa Mamlaka husika, leo asubuhi nimeshuka Magufuli terminal kwa bus na kushushwa kama watawala walivyoamuru, tukiwa wengi tu, tukavuka kwenda upande wa pili kutafuta daladala za kwenda mjini, kiukweli, nimejifunza ule usemi wa "mwenye shibe hamtambui mwenye njaa" una maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…