abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. EINSTEIN112

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

    Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi. Polisi walisema wanamgambo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TRC yasema Ajali ya treni ya abiria Juni 22, 2022 iliyosababisha vifo na majeruhi ni HUJUMA

    Chanzo cha ajali ya treni ya abiria iliyotokea Juni 22, 2022 Mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu kadhaa na kujeruhi wengine kimetajwa kuwa ni hujuma. Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuna kipande cha reli kiliondolewa na kisha kurudishwa kwa...
  4. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

    TAARIFA KWA UMMA TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  7. fantastic philip

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120. Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Abiria hana woga wa ajali.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

    Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni! Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu kama hawa kwa Wanavyotukera Abiria watakuwa Wanapanda ndani ya Mabasi ila wakishuka hawatakuwa na Meno yao

    Mtu unasafiri zako mwendo mrefu halafu anapanda Mtu anahubiri Masaa Mawili tena kwa Kelele huku Mwingine nae anakuuzia Mayai na Mahindi hadi Unakereka. Wadhibitiwe upesi tutawapiga sasa.
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka. Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TEMESA: Kivuko cha MV. Magogoni kilipata hitilafu asubuhi, Abiria watumie Daraja la Nyerere. Kipo kwenye matengenezo

    TEMESA wamesema kivuko cha MV Magogoni kilipata hitilafu leo asubuhi, 2, Juni 2022 hivyo abiria watumie njia mbadala ambayo ni Daraja lal Nyerere. TEMESA inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na utaojitokeza wakati huu wanapoendelea na matengezo ya kivuko hicho.
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Bolt, Uber au Tax ni siri gani alishawahi kukwambia abiria hutakuja kusahau

    Great thinker Kama kichwa kinavyosema, ni siri/stori gani hutasahau uliyokutana nayo ukiwa kazini.? Hiki kisa kilimtokea mdogo wangu alikuja nihadithia kama mwezi baada ya kutokea Miaka kama miwili nyuma, alimbeba dada mmoja kutoka club, alikua kalewa ila kwa nje alionekana mtaratibu sana...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  17. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Basi la Africa Raha Express (T 382 DCS) latelekeza abiria sheli

    Wanabodi, Kwa ufupi ni route ya musoma-mwanza. Basi tajwa limenoa nanga saa kumi na moja unusu jioni kuelekea mwanza ambapo kituo cha mwisho inapaswa iwe buzuruga stand. Changamoto ni gari kuharibika, limeharibikia sheli moja kisesa( mtanirekebisha wenyeji sheli inaitwa "wave"). Ameskika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

    Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj. Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero. Ina maana kila...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Igoma-Mwanza: Bajaj ya abiria kwa bei ndogo

    Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza engine nzima, seat nzima, 0713096076 kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
Back
Top Bottom