Search results

  1. P

    Yaliyojiri uwekaji jiwe la msingi barabara ya njia nne Arusha

    Leo Alhamis March 03, 2016 marais wa Afrika mashariki au wawakilishi wao wamehudhuria uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya njia nne kutoka Arusha, Holili/ Taveta-Voi (Km 234.3). Kenyatta: Jukumu letu kama serikali ni kurahisisha/ kuwezesha wananchi wetu kufanya biashara sio kuwazuia, hio ndio...
  2. P

    ITV, kulikoni leo?

    Siku ya Leo hakuna habari za SAA! You have let us down!
  3. P

    Habari njema, Airtel mtanilipa fidia!

    Nimekutana na haya maelezo katika website ya serikali. Kampuni za simu zinatunyanyasa sana! Binafsi airtel wamekuwa wakinikata huduma ya Mwananchi Breaking news ambayo sijajiunga nayo! Siku si nyingi, nitafika pale Morocco wanipe maelezo au kunilipa fidia kama inavyoeleza hapa chini: PHONE...
  4. P

    Picha: Chalinze kuna mambo! Kituo cha kupigia kura

    Nimekuta picha hii, nikashangaa! Ni chalinze hii iliyopo kilomita chache kutoka Dar au nyingine?
  5. P

    LAPF VS PPF: Mfuko upi una benefits nzuri?

    Ndugu wanajamvi, nimefuatwa kutoa ushauri. Nimeona ni vyema niwashirikishe wadau kwani naamini wapo ambao wapo kazini au wameshastaafu, hivyo kuwa na uelewa na hili. 1. Upi ni mfuko unaotoa mafao ndani muda stahiki? Kuepusha usumbufu pale mtu anapoacha/kufukuzwa kazi 2.Warithi hawasumbuliwi...
  6. P

    Operation Kimbunga: Mhamiaji haramu yupo hapa!

    Operation Kimbunga imeanza kwa mafanikio! Nendeni Mwanza sasa. Zipo taarifa zisizo na shaka kuwa katika Chuo kikuu kimoja, katikati ya jiji la mwanza mkabala na chuo cha BOT, kuna mhamiaji haramu. Ni mwajiriwa katika chuo hicho pasi kuwa na uraia, work permit hata elimu stahiki. Mara zote...
  7. P

    Kuondoa kovu la moto kwenye ngozi (burn Scars)

    Hi all, mada yangu ni kuhusu kovu lililosababishwa na moto or maji ya moto au kitu kingine! Je, wadau/doctors kuna cream or natural herb that can get rid of it. Lengo ni kwamba vinyweleo viote kama sehemu nyingine ya ngozi!
  8. P

    SAUT-Kwa hili la ongezeko la cost ya accomodation, mmechemsha!

    Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza. Ilikuwa kama picha ya kihindi. Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini kupitia wazoefu (wanafunzi wasomao hapo) ikafahamika ni Tshs 210,000. Hata wakati wa kukabidhiwa fomu...
  9. P

    Mhe: Selasini mbunge wa Rombo (Chadema) komesha michango haramu jimboni kwako.

    Zipo taarifa nilizopata kuwa wananchi/kila kaya inalazimishwa kuchangia Tshs 10,000 kwa ajili ya ujenzi wa choo cha moja ya shule ya msingi iitwayo Katangara katika kijiji cha Katangara. Inasemekana ni shule kongwe. je halmashari imewajibika kivipi? Nini wajibu wa bajeti ya wizara ya elimu...
  10. P

    Unanikonga moyo: Stumai George wa Star TV

    Binafsi navutiwa sana na huyu mtangazaji wa Star TV. Baadhi ya vitu vinavyonisukuma niseme haya ni sauti hasa flow yake pia kuwa mkweli...... macho yake. Kama atasoma uzi huu, tafadhali nijulishe siku ambazo unakuwa hewani kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi! Huwa naburudika sana unapokuwa...
  11. P

    Ushuhuda Airtel Yatosha-Wizi mtupu

    Binafsi ni mhanga wa tukio hili. Naamini wapo wahusika wa airtel kwenye jamvi, wachukue hatua. Jana, Jumapili, tar 21 July at 12:58pm nilinunua kifurushi cha 24hrs plus 1hr kwa gharama ya tshs 499. Nilipatiwa dk 15, sms 150 na 50MB. Nikatumia dk 5, sms 1 na Mb sikutumia kabisa. Cha...
  12. P

    Star TV kuweni makini

    Kuna mada inaendelea muda huu, Tuongee asubuhi. Kuna bwana mmoja anatema povu tu na swangish/anachanganya changanya kiswahili na kingereza. Kwa mtazamo wangu hana logic flow ya mada iliyoko mezani. so, Star tv muwe makini na watu mnaowaalika studio kwani image yenu itapotea.
  13. P

    Watawala wa Kenya vs Tanzania

    Rais wa kenya ameshiriki kwenye ibada ya kitaifa ya kuliombea amani taifa hilo siku ya leo! Wakati hayo yanafanyika kwao, hapa tz Waziri mkuu anatoa agizo la kuvunja amani kwa kuruhusu polisi 'KUPIGA TU' Ifike mahali watawala wetu wajifunze.
  14. P

    Kipigo kwa Mh.Nassari: Wameru wakata mabomba chanzo cha maji

    Kuna habari zimezagaa Arusha kuwa jimbo la Monduli halina maji kutokana na mabomba kukatwa. Hii ni baada ya wameru ambao mbunge wao ni nassari kupigwa huko makuyuni katika uchaguzi mdogo. Inadaiwa walikuwa zaidi ya 800, wakiwa na majani mabichi ya miti. Hoja kubwa CCM inatamba monduli kuwa...
  15. P

    Pengo: Bomu Arusha haikuwa Udini

    Punde tu baada ya mlipuko wa bomu katika parokia ya mtakatifu Joseph Mfanyakanzi- Olasiti, Pengo alitamka kuwa si udini. Alisema amethibitishiwa na vyanzo vya uhakika. Haya yanaanza kujirihidhisha wazi wazi. Nami nasema, mlipuko wa mkutano wa Chadema arusha Si ugaidi. Ipo nia nyingine ovu...
  16. P

    Msaada: PAYE deduction katika lumpsum payment

    Wanasheria na TRA experts naombeni msaada wenu katika utata huu. Kipato chochote lazima kikatwe kodi kulingana na sheria za nchi. Naomba kufahamu endapo mtu ameachishwa kazi kisha akalipwa terminal benefits zote. Je, atakatwaje kodi na ni katika kipindi cha muda gani? Nimepata maelezo haya...
  17. P

    Ushauri: Nataka ku INVEST 750,000- Forever Living

    Habari Wanajamvi, Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business. Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
  18. P

    CHADEMA-Arusha. Tutajieni watakao peperusha bendera katika uchaguzi wa madiwani

    Bado siku chache muda wa kampeni uanze rasmi.Ni kina nani waliopitishwa na chama kugombea katika kata zote nne!
  19. P

    Gari gani nzuri/durable kwa gharama around Milioni 9?

    Habari wanajamvi. Naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu. Kwa kiasi cha milioni 9, naweza kupata gari gani nzuri? Isiwe used kutoka kwa mtu hapa tz, bali imported. Nilikuwa na mawazo, kujipatia kati ya haya, ila liwe mannual. 1.Corona Premio 2.Carina 3.Rav 4 old model-nikiongeza hela...
  20. P

    Msaada: HRM applications

    Waungwana. Naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chenye kutoa kozi ya human resources applications anijuze tafadhali. Iwe ni dar, arusha au mbeya.
Back
Top Bottom