Habari njema, Airtel mtanilipa fidia!

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,159
1,225
Nimekutana na haya maelezo katika website ya serikali. Kampuni za simu zinatunyanyasa sana! Binafsi airtel wamekuwa wakinikata huduma ya Mwananchi Breaking news ambayo sijajiunga nayo!


Siku si nyingi, nitafika pale Morocco wanipe maelezo au kunilipa fidia kama inavyoeleza hapa chini:PHONE companies in the country are required to pay their clients compensation in case it is proved that the latter have suffered after the former has gone against laws regulating the sector.

Phone companies are restricted from conducting any form of promotion with the consumer, either through words of mouth or through short message services (SMS) without the consent of the client.

"When it is discovered that a phone service provider has gone against these rules and regulations, the company is required by law to pay the aggrieved customer,"

Consumers of phone services must to report to the phone company in case they feel that there is a breach in the regulations and if no action is taken then they can report to Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom