LAPF VS PPF: Mfuko upi una benefits nzuri?

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,159
1,225
Ndugu wanajamvi, nimefuatwa kutoa ushauri. Nimeona ni vyema niwashirikishe wadau kwani naamini wapo ambao wapo kazini au wameshastaafu, hivyo kuwa na uelewa na hili.

1. Upi ni mfuko unaotoa mafao ndani muda stahiki?
Kuepusha usumbufu pale mtu anapoacha/kufukuzwa kazi

2.Warithi hawasumbuliwi kudai haki za aliyekuwa mwanachama.

PPF wana kipengele cha kuandika jina la mrithi pale unapojisajili, LAPF hawana na maelezo ni kuwa mrithi akishateuliwa na familia/mahakama, atalipwa. (Walioko vijijini kabisa, watamudu hizi process?). Kuna walakini wowote?

3.Mwajiri anaweka michango on time.
Waajiri wengine wanapuuzia na hawaweki michango hata ya mwaka mzima. je, kina nani (LAPF or PPF) wanafuatilia ikiwa ni pamoja na kuwapeleka mahakamani ili mwanachama asisumbuke?

4. Uzeeni, nani anatoa mafao/pension kwa kiwango kizuri?
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,785
2,000
Nilikuwa mwanachama wa PPF tangu ianze hadi 2004 nilipotoka mafao sh 1320000 tuu! kazi kwako
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,785
2,000
by the way huo nimshahara wa mtendaji mdogo wa mwezi PPF,wakibisha waje
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,321
0
Fanya ufanyalo lkn usije ukajiingiza lapf nenda nssf haraka. Lapf yenye makao makuu dodoma ni janga la taifa
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,939
2,000
ppf majanga toka huko hakufai kabisa

Nilijua PPF ni janga baada ya baba yangu kustaafu na kulipwa Mil 35 katika utumshi wake wa miaka zaidi ya 24 shirika moja ambalo wengi wa wafanykazi wao PPF ndio wana deal nao kwa maana ya mafao!
wameishia kumlaghai kuwa atakuwa analpwa pesa kadhaa kila mwezi ktk maisha yake yt yaliyosalia lkn ukweli ni kwamba ni sera mbovu ambazo ni kandamizi!

LAPF nawakubali sana, mzee mmoja alitoka na pesa ndefu of coz kama 195Mil lkn kwa maana halisi ya kama angekuwapo anatnziwa mafao yake na PPF angeambulia mil 35 kama baba yangu maana ni watu alianza kazi pamoja miaka hy, ila mmoja alikuwa PPF na mwingine LAPF!
 
uzi wako una ushawishi, nitaufanyia simple research.
 
mwanafyale

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,641
1,250
Nssf bomba tena sana sana lile fao lao la matibbabu kwa wanachama wake.
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majanga
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,939
2,000
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majanga

Kwenye hilo inatupasa kusimamam IMARA maana viongozi wetu na pressure ya kumaliza uongozi wanadhani ni kama mwisho wa wao kuishi hivyo wapwiyange katika kutoa maamuzi maadam wao watanufaika kwa posho za vikao vya kutoa maamuzi kandamizi!
 
pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,214
2,000
Hata LAPF wanalo fao la matibabu, na formula Yao ya kukokotoa ni nzuri kuliko NSSF. Sema kiukweli PPF kwa sasa ni janga. Nasikia eti wana fight Regulator wao alazimishe mifuko yote iwe na formula moja. Huyo mama naye ni majanga

Kama mifuko yote inakuwa na formular moja,basi ni bora itumie formular ya PSPF.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom