Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Habari wanajamvi.
Naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu. Kwa kiasi cha milioni 9, naweza kupata gari gani nzuri? Isiwe used kutoka kwa mtu hapa tz, bali imported.
Nilikuwa na mawazo, kujipatia kati ya haya, ila liwe mannual.
1.Corona Premio
2.Carina
3.Rav 4 old model-nikiongeza hela kidogo.
Any challenge please?