Pengo: Bomu Arusha haikuwa Udini

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,155
445
Punde tu baada ya mlipuko wa bomu katika parokia ya mtakatifu Joseph Mfanyakanzi- Olasiti, Pengo alitamka kuwa si udini.

Alisema amethibitishiwa na vyanzo vya uhakika.

Haya yanaanza kujirihidhisha wazi wazi.

Nami nasema, mlipuko wa mkutano wa Chadema arusha Si ugaidi. Ipo nia nyingine ovu iliyokusudiwa.
 
niukweli si udini,kama ikizuka ni udini basi huo utakuwa uongo
 
Punde tu baada ya mlipuko wa bomu katika parokia ya mtakatifu Joseph Mfanyakanzi- Olasiti, Pengo alitamka kuwa si udini.

Alisema amethibitishiwa na vyanzo vya uhakika.

Haya yanaanza kujirihidhisha wazi wazi.

Nami nasema, mlipuko wa mkutano wa Chadema arusha Si ugaidi. Ipo nia nyingine ovu iliyokusudiwa.

Ujasiri wa kuweza kutamka haya, unaniduwaza!
 
Kwa matukio kama haya kwa mtu mwenye busara na hofu ya Mungu huhitaji kwenda chuo Kikuu kujua ni nini kinachoendelea. CCM wanajulikana sasa nadhani kuna uhusiano na tunaanza kuielewa kauli ya Cardinal Pengo.

CCM watavuna wanachopanda,

Punde tu baada ya mlipuko wa bomu katika parokia ya mtakatifu Joseph Mfanyakanzi- Olasiti, Pengo alitamka kuwa si udini.

Alisema amethibitishiwa na vyanzo vya uhakika.

Haya yanaanza kujirihidhisha wazi wazi.

Nami nasema, mlipuko wa mkutano wa Chadema arusha Si ugaidi. Ipo nia nyingine ovu iliyokusudiwa.

Kama ni kweli amesema hayo basi atakuwa anawafahamu hao magaidi!...PENGO SIDHANI KAMA ANAWEZA KUTAMKA HIVYO, NINA WASIWASI NA CHANZO CHAKO CHA HABARI HABARI KITAKUWA NA ELEMENT ZA UDINI!
 
Hiyo mbona simple, hata mimi nina uhakika siyo udini bali ni police waliomuokoa mrusha bomu kwa kutumia mabomu ya macho machozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom