Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Nimekuta picha hii, nikashangaa!
Ni chalinze hii iliyopo kilomita chache kutoka Dar au nyingine?
![]()

Matrekta sehemu yenye shule kama hiyo hapo juu? Hiyo ndio imetoka na ndio kawaida ya CCM Kuwalaghai wananchi then wakishapata kura ndio mwisho wa story. Ndio maana ushindi wa CCM Katika maeneo masikini na yenye elimu duni ni mkubwa. Wanadanganyika kirahisi.Nasubiria Matrecta tuliyoahidiwa
Matrekta sehemu yenye shule kama hiyo hapo juu? Hiyo ndio imetoka na ndio kawaida ya CCM Kuwalaghai wananchi then wakishapata kura ndio mwisho wa story. Ndio maana ushindi wa CCM Katika maeneo masikini na yenye elimu duni ni mkubwa. Wanadanganyika kirahisi.

Kuna thread eti JK kapewa tuzo ya kuleta maendeleo Africa hahahaha...............?Nimekuta picha hii, nikashangaa!
Ni chalinze hii iliyopo kilomita chache kutoka Dar au nyingine?
ndiyo hiyo hiyo ila haya ni maeneo ya vivjijini