Kipigo kwa Mh.Nassari: Wameru wakata mabomba chanzo cha maji

Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,155
441
Kuna habari zimezagaa Arusha kuwa jimbo la Monduli halina maji kutokana na mabomba kukatwa. Hii ni baada ya wameru ambao mbunge wao ni nassari kupigwa huko makuyuni katika uchaguzi mdogo.

Inadaiwa walikuwa zaidi ya 800, wakiwa na majani mabichi ya miti. Hoja kubwa CCM inatamba monduli kuwa inasambaza maji wakisahau chanzo kipo katika jimbo la arumeru.

Kama ni kweli, chonde chonde, walegeze msimamo kwani maji ni huduma muhimu.
 
Back
Top Bottom