Search results

  1. Gurudumu

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni

    Natafuta kiwanja kwenye mradi wa serikali wa Kisota uliyopo Kigamboni. Ukubwa wa kiwanja uwe kati ya square meter 1700 hadi 2300. Kama unacho na unauza tafadhali jibu hapa na aweke namba yako ya simu nitakupigia. Tafadhali iwe ni ndani ya eneo Kisota lililopimwa na serikali tu
  2. Gurudumu

    Wananchi wanabomolewa nyumba zao kwa usimamizi wa serikali. Nani mtetezi wao

    Vitendo vya kuboa nyumba za wananchi ili kupisha miradi ya wawekezaji vinaongezeka hapa Tanzania. Takribani kila wiki kuna taarifa za wananchi au mwananchi kubomolewa nyumba bila hata mali zake kuhifadhiwa. Kisha wanatelekezwa bila kupatiwa hifadhi yoyote. Hata wakilalamika, vyombo vya habari...
  3. Gurudumu

    Majangili wa Tembo watuma salamu kwa Kambi ya Upinzani

    Sasa hawahitaji kufanya kazi yao kwa kificho, wanachinja kichwa cha tembo (hai?) barabarani kweupe
  4. Gurudumu

    Je, Uamuzi wa Serikali kuagiza mchele toka nje ni ufisadi au ni kuokoa uchumi?

    Hebu jaribu kutafakari hizi habari mbili tofauti kisha utoe maoni yako Habari ya kwanza Farmers complain of rice glut Send to a friend The Citizen Monday, 26 July 2010 11:01 By Enos Masanja, Moshi Paddy growers in Moshi District, Kilimanjaro Region, at the weekend complained of...
  5. Gurudumu

    Dr Shein asema uvumilivu kwa wanaosababisha vurugu basi

    Akihutubia katika swala ya eid el haji, amesema serikali imechoka kuwavumilia wanaoanzisha vurugu na uchochezi wa kidini. Amesema serikali itamchukulia hatua mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo hivyo kwani havihusiki na dini ya kiislamu source: Channel Ten
  6. Gurudumu

    Nape asema Edward Siyo msafi

    Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais. Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi. Alitoa mfano mara tatu...
  7. Gurudumu

    Serikali yafukuza kazi W/viti wa Vitongoji, waliochaguliwa na wananchi

    Ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama amemuagiza mkuu aw Wilaya ya Hai Novatus Makunga kuwafukuza kazi mara moja wenye viti wote wa vitongoji Wilaya ya Hai. Kisha ameagizwa ateue wengine mara moja. Kosa, hao wenyeviti walimwandikia barua mkuu aw mkoa kumuarifu kuwa hawatashiriki kwenye...
  8. Gurudumu

    Siku ya Pili: Polisi wanafukuza wachimba kokoto Mjimwema Kigamboni

    Siku ya pili leo wachimba kokoto hawa wanapambana na polisi
  9. Gurudumu

    James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

    aitaka serikali ishuhulikie matatizo isikimbilie mahakamani, migomo bado ipo asema haiwezekani baba kugombana na mama na watoto halafu akawa wa kwanza kukimbilia polisi Asema ukificha maradhi kifo kitakuumbua, migomo bado inaendelea Adai nchi hii siyo tena na wakulima na wafanyakazi, ni ya...
  10. Gurudumu

    Gazeti la The East African: Katuni ya Kejeli kwa Tanzania, Olympic

    Mnakumbuka ile katuni iliyokuwa imechapwa kwenye gazeti la Kenya ikonesha wana habari wa Tanzania wakilamba viatu vya JK. Ililalamikiwa sana ingawa ilikuwa na ukweli fulani. Sasa imewekwa katuni kwenye gazeti la The East African kama ilivyo hapa chini. Sijui tena tukasirike au tukubali ukweli?
  11. Gurudumu

    Sijisikii Fahari kuhusishwa na Mbunge wala Bunge la Tanzania

    Kuna wakati nilidhani pengine iko siku nitagombea ubunge, niwe mbunge wa bunge la Jamhuri ya Tanzania Nafurahi tamaa hii imepotea kwa kuwa Ubunge na Bunge letu vimekosa hishima na uadilifu mbele ya jamii ya Kitanzania na duniani kiasi kwamba sitamani kuhusishwa navyo. Kuna nyakati wahalifu...
  12. Gurudumu

    Serikali: Vigogo waligawiwa viwanja Gezaulole kwasababu wana uwezo wa kujenga

    Serikali imesema Bungeni leo kwamba mojawapo ya vigezo vilivyotumika kuwagawia vigogo viwanja vya eneo la Gezaulole lililopo Kigamboni ni pamoja na uwezo wa waombaji kuendeleza eneo husika. Waziri mhusika amesema kwamba Manispaa ya Temeke ilipokea maombi 16,000 lakini viwanja vilivyokuwepo ni...
  13. Gurudumu

    Ngeleja na Malima wawajibishwe

    Sasa iko wazi, Ngeleja kwenda kujiunga na wafanyakszi wa Wizara kumpokea Jairo na kumkumbatia Skendo la mafuta ya kuendesha mitambo kuzalisha Umeme Mgao feki kwa kipindi chote wamekuwa Mawaziri wa Wizara ya nishati na madini Malima kuwa na pesa nyingi za kigeni hadi kuogopa kuweka...
  14. Gurudumu

    JK alikusudia Kutudanganya, au alidanganywa ili atudanganye?

    Katika hotuba yake kwa watanzania kupitia sherehe za Mei Mosi leo, Rais Kikwete amezungumza mengi kuhusu taarifa za CAG na utekelezaji wa mapendekezo ya CAG. Mojawapo ya mambo aliyosema ni kwamba aliagiza CAG aweke taarifa za ukaguzi wazi ili wananchi wazijadili. Sijawahi kusikia hiyo kauli wala...
  15. Gurudumu

    Wimbi la CCM kuhamia CHADEMA ni Fursa ya Kupima uwezo wa Chadema

    Kuna taarifa takribani kila wiki za ama wanachama au viongozi wa CCM kuhamia Chadema. Hadi sasa imechukuliwa kwamba ni jambo jema. Wengi wanalihisisha na kazi ya "Mungu" Nilitarajia kwa kasi hiyo ya kuhamia, Chadema wangekuwa wametangaza mkakati wa kuwapokea, na kuwapunga mapepo ya CCM. Au...
  16. Gurudumu

    Je, hapa Wilson Mukama analikemea Bunge lisipambane na Ufisadi wa Serikali?

    `Parliamentary committees flouting House procedures` By Correspondent 5th April 2012 Email Print Comments CCM Secretary General Wilson Mukama CCM Secretary General Wilson Mukama yesterday expressed...
  17. Gurudumu

    Benson Bana, Kujipendekeza kwa serikali na Kiingereza "Broken"

    Kwenye hii article Home ameandika kwa urefu sana lakini angeweza kusema mambo hayo yote kwenye ukurasa mmoja tu. Anazunguka mno na kurudia kauli au wazo. Kisha amevunja sana lugha ya Malkia, ni aibu kwa sababu yeye ni mkuu wa kitivo cha chuo kikuu. Maeneo fulani fulani katumia maneno ya kabila...
  18. Gurudumu

    I thought Bunge Would Immediately Discuss the state of our Economy

    Nilitazama Bunge asubuhi nikiwa na matarajio kwamba kila kitu kitawekwa pembeni lijadili kwanza hali ya uchumi wetu inayodorora siku hadi siku. Nilisikitishwa kuona kwamba wabunge wako busy wanauliza maswali ambayo ufumbuzi wake ni hadi uchumi wetu uwe umesimama imara. Waliuliza maswali mengi...
  19. Gurudumu

    Naombeni Mwongozo Kuhusu Utaratibu wa Bajeti

    Wapambanaji natumaini hasira za Jairogate zinapungua sasa. Hivyo naomba sasa mtulie mnipe Mwongozo wa kikatiba na kikanuni kuhusu bajeti ya serikali kwa muktadha wa bajeti ya Nishat na MadiniKwa kuwa sasa tunajua kwamba Kamati za Bunge zimekuwa zikihongwa kupitisha bajeti za serikali,Kwa kuwa...
  20. Gurudumu

    CV za Wabunge ziko wapi kwenye Tovuti ya Bunge?

    Bunge linaanza kikao chake cha bajeti tarehe 7 Juni 2011. Mabunge mawili yaliyopita (sina uhakika kabla ya hapo) C.V za wabunge zilikuwa zinapatikana kwenye tovuti ya Bunge sambamba na picha na majina yao. Katika bunge hili kuna baadhi ya wabunge wachache ambao C.V zao zipo katika tovuti ya...
Back
Top Bottom