Natafuta kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Natafuta kiwanja kwenye mradi wa serikali wa Kisota uliyopo Kigamboni. Ukubwa wa kiwanja uwe kati ya square meter 1700 hadi 2300.
Kama unacho na unauza tafadhali jibu hapa na aweke namba yako ya simu nitakupigia.
Tafadhali iwe ni ndani ya eneo Kisota lililopimwa na serikali tu
 
Mkuu
Kama upo unahitaji bado kiwanja na maeneo hayo ya Kisota haujapata, kuna viwanja viwili vimefuatana maeneo ya Mwongozo hkhk Kigamboni, kuna mdau anauza
Maelezo ya kila kiwanja ni hayo:
Plot no 213, Block 6, 483 Sq.metre
Plot no. 212 Block 6, 512 Sq.metre
Bei: mil 20 kwa kila kiwanja mazungumzo yapo. Check 0755411455
Screenshot_2018-07-25-08-51-31-19.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom