Search results

  1. mbota

    Tuwe makini tunapoenda kupima malaria

    Wakuu kwema, Siku tatu zilizopita mwili wangu ulikuwa umechoka sana Basi nikaamua kwenda kupima ila nilipoenda majibu yakasema sina malaria, ila jana hali iliendelea kuwa tete nikaendelea kubanwa na kifua ambapo uchovu ulinizidi na masikio kuto kusikia vizuri, nilipoona kwenye ishu ya kutosikia...
  2. mbota

    Mambo ambayo huwezi kuyaona kwenye mtandao ya kijamii yanayohusu Kilimo na ufugaji

    Habari zenu wafugaji wenzangu, Mimi kama mdau wa kilimo na ufugaji. Napenda kuwashirikisha jambo moja muhimu sana, pale unapoingia kwenye Tasnia ya ufugaji na kilimo jua kama biashara yoyote ile ina changamoto zake kama biashara nyingine. Hizi ni baadhi ya picha ambazo siyo rahisi kukutana nazo...
  3. mbota

    Mafanikio niliyoyapata toka nijiunge JamiiForums mwaka 2012

    Heri ya mwaka mpya wadau wote wa JamiiForums. Hakika leo nimekaa na kutafakari toka nimejiunga Jamiiforums je kuna mabadiliko yoyote kwenye maisha yangu kiujumla yani Kiuchumi, Kiroho, Kijamii na Kimwili. Jibu nikuwa kuna mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yangu hivyo nasema ASANTE kwako...
  4. mbota

    Jinsi ya Kupata Masoko kwa ajili ya bidhaa zitokanazo na kuku

    Wanabodi ni matumaini yangu kuwa mnaendele vizuri na kumalizia weekend. Niende moja kwa moja kwenye point, Vijana wengi tumekuwa wajasiria mali hasa kwenye ufugaji wa kuku,lakini changamoto kubwa tunayokutana nayo ni jinsi ya kupata masoko ya bidhaa zetu yaani Mayai, Kuku kwa ajili ya nyama...
  5. mbota

    Kusoma CPA (T) kwa mikoa ambayo hamna review classes.

    Wanajamii habarini za kazi? Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu mada tajwa hapo juu. Kwasasa nipo Singida na hamna madarasa ya kusoma CPA. Mpango wangu ni kufanya registration mwaka ujao January na kufanya mtihani mwezi wa tano na wakumi na moja mfululizo. Nimepiaga simu bodi wamenieleza...
  6. mbota

    CPA REVIEW CLASS mkoa wa SINGIDA

    Hivi kwenye mkoa tajwa hapo juu kuna hilo darasa kweli? Naombeni msaada!!
  7. mbota

    Msaada kwa ajili ya PC yangu

    Salaam wakuu! Tafadhali nimebadili PC sasa ninaombeni link ninayoweza kupata application zifuatazo. 1. Application ya kucheza nyimbo both audio and video. kwasasa natumia VLC ila inakwamakwama yani kama ina scratch vile, hivyo kama unajua nyingine kuacha VLC nisaidie ili niipakue hapa...
  8. mbota

    Ushauri: Wafanyabiashara, muda muafaka wa kuanzisha Bank yenu

    Salaam wapendwa. Wafanyabiashara wa Tanzania nina ushauri kwenu baada ya kusikia malalamiko mengi kuhusiana na maswala ya mikopo, au huduma zitolewazo. Kwanza ninaamini wafanya biashara ndio wanaosaidia sana mzunguko wa fedha katika eneo fulani. Pili wafanyabiashara ndio wanao chukua mikopo...
  9. mbota

    CRDB ni hopeless bank

    ATM hazina hela yani hawa watu hawana maana kabisa naenda ATM zaidi ya tatu hamna hela eti benk inayokusikiliza tupa kuleee
  10. mbota

    Vipi kuhusu punguzo la bei Simba Cement

    Kama kuna mtu anayehusika na kiwanda cha simba cement au anayejua naomba anipe taarifa. Wanatangaza punguzo kubwa la bei ya hii bithaa yao Sh. 11,800/= kwa mfuko. Mimi nipo moshi nahitaji cement, msaada tafadhali. :wave::wave::wave:
  11. mbota

    UDOSO Na Management ya UDOM kulikoni

    Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU akiwa Na mimba au Mtoto haruhusiwi kukaa hostel Sasa hii hela mnayotaka ya hosteli Na MTU hatakaa...
  12. mbota

    Taasisi za Fedha na utoaji wa ajira

    Salaam wote! financial service providers hasa hasa bank hawafuati utaratibu katika kuajiri mfano Crdb walikuwa wanasema ili upate ajira kwao ni lazima uwe na upper second na tena kama umefanya nao ile unpaid training practical they must consider you kipindi watatanngaza kazi ila kinyume chake...
  13. mbota

    UDOM bumu mpaka sasa bado kuna nini!

    Salaam kwenu waungwana Nina mdogo wangu anasoma hapo UDOM, Ila cha kushangaza dogo analalama hadi sasa bado hawajapewa hela ya kujikimu huko mafunzoni, kuna tatizo gani kwa nchi yetu kutokujali wasomi? ninapata shida sana kwamba hawa wakimaliza itakuwaje maana nchi imeamua kuwapeleke vijana...
  14. mbota

    Vodacom + HESLB

    Vodacom mmepewa tenda na bodi ya mikopo kwa ajili ya malipo ya maombi ya mikopo ila kwa nini vodacom M PESA Haitaki kufanya hayo malipo toka asubuhi tunajaribu kulipa hapa ila majibu yenu ni kwamba reference au namba ya form four tunakosea wakata tunafuata vigezo na masharti sasa nyie vodacom...
  15. mbota

    This is nice advice and all to both big and small Organization

    This is nice advice and all, but I dare to challenge COMPANIES to redesign their job descriptions and stop forcing someone's resume to fit the description. The real reason why companies are having a hard time finding the right candidate is because they are spending too much time...
  16. mbota

    Boko Haram Leader Shekau Boasts: Abuja Bomb Attack is Just a “Tiny Incident”

    He spoke at top of his voice into the camera, laughing sarcastically. “Let the world know that we were responsible for the bombing within Abuja in an area called Nyanya. [President] Jonathan, you are a lame duck. Jonathan, you are now too small for us. We can only deal with your grand masters...
  17. mbota

    Kwanini mpango wa kuajiri unachukua mda mrefu sana Tz.

    Wakuu heshima mbele... Nina swala hapa hivi ni Kwanini kampuni au organization nyingi za hapa nyumbani zinachukua mda mrefu sana kuajiri toka wanapo kuwa! Wametangaza ajira. Mfano: tangazo linatoka mwezi wa 11 halafu deadline mwisho wa mwezi wa 12: shortlisted for written interview mwezi wa...
  18. mbota

    Msaada kwa wenye ufahamu wa biashara ya ukopeshaji (micro-credit)

    Wanajukwaa salamu kwenu. Ninaomba msaada wa kimawazo na ushauri; Wakuu nipo kwenye utafiti wa kuangalia fursa ya kuanzisha taasisi ya ukopeshaji kwa wananchi ambao hawajapata huduma hii kutoka kwenye mabenk yaliyopo. Sasa wana jukwaa je kwa maoni yenu ni mkoa gani ambao fursa hii ipo, pia ni...
  19. mbota

    e scan Anti virus monitor is not loaded

    wakuu jana nimenunua anti- virus ila baada ya ku install na ku update inaniambia kuna error na e scan anti virus monitor is not loaded. naombeni msaada jamani maana hii komputa imekuwa nzito sana kwa kila ninachofafanya. asanteni.
Back
Top Bottom