mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,072
- 641
Wanajamii habarini za kazi?
Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu mada tajwa hapo juu. Kwasasa nipo Singida na hamna madarasa ya kusoma CPA. Mpango wangu ni kufanya registration mwaka ujao January na kufanya mtihani mwezi wa tano na wakumi na moja mfululizo.
Nimepiaga simu bodi wamenieleza nitaanzia foundation level with exception of two subjects.
OMBI LANGU KWAKO:
Je unanishauri vitabu gani vya kuanza kusoma ili ni perfom vizuri?
Je nitumie mitandao gani kupata material mazuri ya hii professional?
Nitumie mbinu gani kuvuka mapema.
Ni hayo tu natanguliza shukrani za awali kwa ajili ya kila atakayechangia uzi huu.
AMANI KWENU.