Msaada kwa ajili ya PC yangu

Msaada kwa ajili ya PC yangu

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,072
Reaction score
641
Salaam wakuu!
Tafadhali nimebadili PC sasa ninaombeni link ninayoweza kupata application zifuatazo.

1. Application ya kucheza nyimbo both audio and video. kwasasa natumia VLC ila inakwamakwama yani kama ina scratch vile, hivyo kama unajua nyingine kuacha VLC nisaidie ili niipakue hapa

2. Application ya kupakua kutoka YouTube nilikuwa natumia you-tube down loader ila kwa sasa imekuwa slow sana hivyo nashindwa kabisa kupakua nyimbo.

3. Pia naomba link ya kupakua game ya ZUMA revenge au ZUMA deluxe

ASANTENI
 
ingia filehippo.com utakuta program zote.
kuhusu Ku scratch Fanya Ku update video drivers .
Zuma utaikuta kickass.to
 
Salaam wakuu!
Tafadhali nimebadili PC sasa ninaombeni link ninayoweza kupata application zifuatazo.

1. Application ya kucheza nyimbo both audio and video. kwasasa natumia VLC ila inakwamakwama yani kama ina scratch vile, hivyo kama unajua nyingine kuacha VLC nisaidie ili niipakue hapa

2. Application ya kupakua kutoka YouTube nilikuwa natumia you-tube down loader ila kwa sasa imekuwa slow sana hivyo nashindwa kabisa kupakua nyimbo.

3. Pia naomba link ya kupakua game ya ZUMA revenge au ZUMA deluxe

ASANTENI

1.Hebu elezea hizo scratch zikoje?
2. Kupakua videoo kwenye site yoyote tumia hii Download Baidu Browser

3. ZUma deluxe pakua hapa Zuma - Download
 
kwa ulivyoelezea hapo juu huna driver ya graphics hata iudownload video player ipi utaface same problem. hebu anza na kutupa specs za laptop na aina ya laptop pamoja na version ya windows
 
Weka model ya computer yako hapa, pamoja na windows unayotumia

ASANTE mkuu
hii ya ku download imekaa poa sana asante sanaaa na Ubarikiwe
ile ya zuma deluxe siyo free inahitaji ni nunue

model ya computer ni TOSHIBA SATELLITE mini

Shukrani ymollel
 
Last edited by a moderator:

Ingia kwenye programs- Run. Pale kwenye RUN andika dxdiag. Bonyeza enter , halafu utuwekee system model hapa, au pia unaweza kuweka screen shot, ili tujue exact model ya pc yako
 
nashukuru sana ymollel kwa msaada wako japo zuma imenishinda
 
Capture.PNG@ymollel
 
Back
Top Bottom