Vipi kuhusu punguzo la bei Simba Cement

mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,040
559
Kama kuna mtu anayehusika na kiwanda cha simba cement au anayejua naomba anipe taarifa. Wanatangaza punguzo kubwa la bei ya hii bithaa yao Sh. 11,800/= kwa mfuko. Mimi nipo moshi nahitaji cement, msaada tafadhali.
:wave::wave::wave:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom