Search results

  1. djwakibajaji

    Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Huyu ni mpuuzi tu ameshindwa yeye mwenyewe kwa mitamaa yake ya kupata pesa za haraka alafu anataka kuaminisha na kizazi kijacho huu uozo wake huu
  2. djwakibajaji

    Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Wewe jamaa ni muhuni tu mwezi wa January tu hapo uliweka chapisho lako kwamba kutarget VIP traffic umefeli ni ngumu kwako na una malengo ya kulenga traffic ya TANZANIA cause ni low quality kwahiyo haiwezi kuwa na KD kubwa kwa hiyo utaweza kufurukuta. Naona hata kublog kiswahili kumekushinda...
  3. djwakibajaji

    Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Naimani umepata mwanga teyari
  4. djwakibajaji

    Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Mambo vipi bloggers Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili. Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
  5. djwakibajaji

    Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Unanipangia au sio najua yote hayo
  6. djwakibajaji

    Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Unazingua mkuu mm nimesema ADSENSE
  7. djwakibajaji

    Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Hii ndio ina matangazo ya adsense
  8. djwakibajaji

    Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Wadau wa ADSENSE nahitaji blog na ADSENSE yake kwa anayeuza
  9. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
  10. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Wewe ni blogger mkubwa umefikia hatua ya kuendesha biashara mwenyewe mkuu
  11. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Elaborate some of them please
  12. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Mbona kuna blogger wa Asante mkuu good idea
  13. djwakibajaji

    Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu. Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
  14. djwakibajaji

    Simba SC Giant wa Tanzania Kimataifa

    Ligi ya tanzanian imedhihirisha kuwa ni kubwa Sasa Naona timu inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi inafanya makubwa kimataifa. Ni wakati wa yanga kujitathimini
  15. djwakibajaji

    Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Inawezekana Lakini sio rahisi kiivyo inabidi upate mwalimu mzuri atakaye kuongoza
Back
Top Bottom