Msaada wa Blog niche ambazo ni rahisi kurank 1 position google search

djwakibajaji

Member
Mar 2, 2023
22
17
Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO.

Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko.

Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger wadogo tukiandikia article zake ni rahisi kupenya.
 
Ku rank #1 ama top 3 kwa ujumla kunahitaji adabu na nidhamu ya uandishi haijalishi niche uliyopo ilimradi kuwe na wanao search. Unapoanzisha blog mpya shika moja la kupata high rank ukishaipata ndo uanze maswala ya monetization. Sio blog haijafika popote matangazo kibao content hamna.
 
beginners ndio huwa wanahangaika sana na kusumbuliwa na adsense, lakini ma legend wanapiga hela ndefu sana kwa monetization, imagine site kama oceanofgames na getintopc wanatumia adsense na wana software na games ambazo ni cracks which means hio ni against na google AdSense policy kwenye copyrights, lakini jamaa ndio hivyo wanapiga pesa ndefu na wana rank ya juu sana kwenye SEs, mwisho wa siku AdSense they dont care kwa sababu na wao kupitia wewe wanaingiza pesa, ukisha kuwa na traffic ya maana hata AdSense wanakutamani.

Ukishakuwa na site yenye vitu watu wanahitaji watu watakuja tu, watu wakija unapata rank ya juu kwenye SEs, ujanja wako na ubunifu ndiko pesa ilipo.
 
Ku rank #1 ama top 3 kwa ujumla kunahitaji adabu na nidhamu ya uandishi haijalishi niche uliyopo ilimradi kuwe na wanao search. Unapoanzisha blog mpya shika moja la kupata high rank ukishaipata ndo uanze maswala ya monetization. Sio blog haijafika popote matangazo kibao content hamna

beginners ndio huwa wanahangaika sana na kusumbuliwa na adsense, lakini ma legend wanapiga hela ndefu sana kwa monetization, imagine site kama oceanofgames na getintopc wanatumia adsense na wana software na games ambazo ni cracks which means hio ni against na google AdSense policy kwenye copyrights, lakini jamaa ndio hivyo wanapiga pesa ndefu na wana rank ya juu sana kwenye SEs, mwisho wa siku AdSense they dont care kwa sababu na wao kupitia wewe wanaingiza pesa, ukisha kuwa na traffic ya maana hata AdSense wanakutamani.

Ukishakuwa na site yenye vitu watu wanahitaji watu watakuja tu, watu wakija unapata rank ya juu kwenye SEs, ujanja wako na ubunifu ndiko pesa ilipo.
Okay
 
Back
Top Bottom