seo

  1. Feisal2020

    JamiiForums Tanzania TAFADHALI NIKUTANISHE NA SEO CONTENT WRITER WA BEI YA KITANZANIA

    UPDATE: Wakuu samahani sana, niliandika tangazo limekamilika pamoja na mawasiliano kisha nikapost hapa, na wakati huohuo kuna mtu mwingine akanitafuta kwamba anaweza kufanya kazi hivyo nilirudi humu kufuta content ya tangazo ili nisitafutwe tena... samahani kwa usumbufu nikipata uhitaji tena...
  2. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Wadau wa ADSENSE nahitaji blog na ADSENSE yake kwa anayeuza
  3. X

    JamiiForums Tanzania Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

    Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake: kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
  4. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Any Experienced Technical SEO Expert in here ?

    Looking for a technical SEO expert with experience. Awe na uwezo wa kutatua matatizo yote yanayohusu site SEO ikiwemo Speed as per Google page speed.
  5. talentbrain

    JamiiForums Tanzania SEO expert anahitajika

    Habari Wataalamu. Kuna website yangu ambayo iko kwa developer na muda wowote atanikabidhi kazi baada ya kumaliza upade wake. Sasa ninafikiria kupata expert tofauti ili anifanyie SEO na kuhakikisha website iko sawa. Mu huyu atatusaidia kuona website kama iko sawa na kuhakikisha inaingiza...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania SEO writing, kazi inayolipa sana mtandaoni

    Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna tovuti zinatokea page ya kwanza na nyingine page za huko mbele? Ni wazi kuwa watu wengi husoma majibu...
  7. benjavibe

    JamiiForums Tanzania Yoast SEO Premium 2020

    Nime google wanataka nilipie $89, pia wanasema inatumika katika Website moja tu JE?? wakuu naomba njia nyingine ya kui PAKUA hii premium??
Back
Top Bottom