Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano, nimetumia blogger na WordPress niseme tu kwamba mpunga wa Adsense haijalishi unatumia ipi kati ya hizo.

Unaweza ukapiga mpunga mwingi kwenye yoyote ile, au ukapiga mpunga mchache kwenye yoyote ile.

Labda niseme hili kwa faida ya wasomaji wote

Kupiga mpunga mwingi Adsense inategema na vitu vifuatavyo

1. Niche- kuna niche zina (cost per click) CPC,Cost per 1,000 Miles (CPM) kubwa kuliko nyingine
2. Quality of your content- hapa kuna vitu kama Length, relevancy, origality etc.
3. Traffic location- nchi kama US, UK, CANADA, NEW ZEALAND etc hizi zina high CPM na CPC. Ila kama unatraffic ya TZ au africa basi lazima uambulie visent tu.
4. Traffic source- organic traffic ina earnings nzuri kuliko referral au social traffic
5. Vitu vingine ni kama season, device used (mobile, desktop, tablet), etc.

Kwa hiyo haujalishi unatumia WordPress au Blogger hivyo vitu hapo juu ndo vitaamua unapiga mpunga kiasi gani .

Ila if you are treating your website/blog like a business basi utahitaji sana WordPress.

Ila kama unafanya blog yako kama hobby Blogger itakutosha.

Kwa swali lolote kuhuiana na Adsense, blogging au SEO karibu.
Hapo kwenye referral ninauzoefu napo
Earn ni ile ile ya organic , coz inahisabika kama backlink
Ila kwenye social traffic isiwe imetokana na Ads , kutokana FB Ads , Microsoft Ads zinahesabiwa kama bots kwenye AdSense , PropellerAds na Adsterra
 
Vitu gani vinavyoweza kufanya Google adsense waanze kuweka ads kwenye blog yako? Na idadi gani ya watu inahitajika Ili upate kibali
Kipindi cha nyuma ilikuwa elfu 6 kwa miezi 6 kabla hujaomba siku hizi ni miezi 6 tu mradi uwe na content ambazo hujacopy kwa watu... ukicopy popote wanadetect mapema hata paragraph 2 maana hata wenye adsense account wakidanganya basi utaona inaweka negative income..

Uwe na unique blog na articles zake
Kila category moja iwe na post 7..

Categories zenyewe ziwe walau saba..

Post moja iwe na maneno zaidi ya 600

Blog yako isiwe kama personal blog mfano ya Herbalist Dr MziziMkavu hapo

Rakims
 
Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi

Rakims upo Nondo sana mwalimu wa blogging endelea kutupa madini
 
Dah! Hapa sasa mnatuchanganya wataalamu. Mbona kuna mdau mmoja humu aliwahi kusema ili mtu uweze kumonetize lazima blog iwe na niche moja (Let say Politics) na unawaambia kabisa google kwenye Meta description! Hii ya kusema unaweza kuandika niche nyingi inakuaje?

Cc Rakims.
 
Meta description ni moja kati ya vitu ambavyo ukifuata utapoteza traffic kubwa sana...

Jambo unalotakiwa kufahamu kila siku online vitu vinakuwa upgraded sasa ikiwa unataka uhondo wa ngoma..

Cheza mkuu

Nitaingia huko siku sio nyingi.
 
Back
Top Bottom