Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

Wewe jamaa ni muhuni tu mwezi wa January tu hapo uliweka chapisho lako kwamba kutarget VIP traffic umefeli ni ngumu kwako na una malengo ya kulenga traffic ya TANZANIA cause ni low quality kwahiyo haiwezi kuwa na KD kubwa kwa hiyo utaweza kufurukuta.

Naona hata kublog kiswahili kumekushinda wewe ukalime tu hili game huliwezi.

Unasema blogger wanaopata 500k, 1M ni ndogo huu ni uongo mkubwa fatilia vipato vya wantanzania wengi alafu uje uandike vizuri hapa.

Ulisema elimu yako imeishia form 4 wewe ni kanjanja na msomi uliyefeli maisha na unahasira na madogo wanavyokunja vibunda vikubwa in online deals.

Umeikulupukia blogging imekuchapa vibaya sana hakuna pesa rahisi kwenye hii industry you need to work smart and na sio kutumia nguvu nyingi.
 
Huyu ni mpuuzi tu ameshindwa yeye mwenyewe kwa mitamaa yake ya kupata pesa za haraka alafu anataka kuaminisha na kizazi kijacho huu uozo wake huu
Ni sawa na shule wengine hesabu mnafeli ila mwingine anafaulu. Wale wenye juhudi kujfunza pia hupata angalau ufaulu. Ukishindwa kitu haimaniishi ni kigumu. Hiyo ni kwako wengine wanapiga tu kama kawa.....watu hawajui
 
Kaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu.

Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa

Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu wamebadili maisha lakini kwa bongo hii Bin No!

Kwa bongo kutoboa online ni ngumu sana, utaona tu picha zao insta ila maisha halisi ni tofauti sana, ukifatilia wale wenye nazo wanaona aibu hata kuweka wazi jinsi wanavyozipata (kushare picha za uchi kwenye account za fb wanazoziiba, kufoji vitambulisho kutapeli watu, tuma kwa ile namba, ponzi schemes, n,k).

Ni heri ufanye kilimo, tunawaona watu wamechana msamba.

Ni heri ufungue mgahawa, tunawaona watu wana range zao za milioni 200

Ni heri ufungue duka lako la hardware, mdogomdogo una grow ndani ya miaka 10 kuna chance ya kufika mbali
Online mimi naingiza pesa nyingi sana.
 
Mkuu kuna wizi mkubwa vijana waliofanikiwa kuwa na connection wanapata pesa sana.
Kuna vitu vinaanzishwa na kuungwa mkono hadi na serikali lakini vimeumiza sana watu.
Mfano kina kalynda,Rifaro Africa,na mengine kama hayo ambayo ndiyo kwanza hayaishi.
Hivi sasa kuna scheme ya kuwekeza kwenye renewable energy na utaona kabisa jitihada za kufanya sensitization zinahusika hadi na serikali.Hapa watu watapigwa tena.
Mi naona ni kuwaonya tu watanzania wasio na connection kuachana na Ku risk huku mitandaoni maana kuna wajanja kweli wanapiga hela na wajinga wanapigwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom