Mbona kuna blogger wa
Blogging kwa ujumlq ni takataka futa kabsa mawazo ya mpunga mwingi

Ngoja nikuambue kitu, nina uzoefu na blogging kama 4+ years pia ni Developer, Programmer + IT Solutions....

*Wordpress ni kweli inukupa flexibuility kubwa ya plugins na themes mbali mbali... ila iko slow sana kwani ina loads macode mengi, hivyi utalazimika kupata hosting ya juu kidogo kuhandle load/traffic

Faida za wordpress over blogger
-> More plugins, flexibility and features in CMS

-> Unwz ku-customize codebase ya theme au plugins au website kiujumla

-> Pia kwa ads za adsense kuna plugins nyingi za kukusaidia kama kuweka ads sehem nzuri, kumedify code bila kuwa na skill kubwa.

Hasara za wordpress over blogger

-> It slow down website kwani ina codebase kubwa ya plugins au theme, hivyo mambo ya SEO ni bad factor kwa google, so utalazimika kuwa na hosting yenye bandwith kubwa, RAM na storage kubwa... hivyo hasara ya pesa ya renting server na SEO issues

-> Ina updates nyingi sana za plugins na themes hivyo unwz kuta website ime crash at any time kama haupo active ku-update plugins na theme... ina tatizo na mambo ya compatibilty with PHP Version unakuta plugins zingine zinta PHP version 8 ila hosting akaunti yako ni shared hivyo unapangiwa PHP Version unakuta ipo mwisho 7.4 supported, ukipugrade inagoma labda iwe dedicated which is cost

Faida za blogger over wordpress

-> High speed,
-> low codebase in general for website/blog
-> no updates since google handle all tasks
-> haina mambo mengi straight to content
-> free storage (<<20GBfor media (photo,video)

-> Ukipata mtu anyejua unapiga hela adsense vzr tu

Hasara zake za blogger over worpress

-> haina flexibility kubwa ya kuedit au cuastomize codebase ya blog/website

-> haisapoti backend languages kama PHP,Python ni JS, HTML na CSS

-> No freedom, no email server for sending to your traffics/visitors

======= final thought ====

zote ni nzuri, kulingana na mahitaji yako , mimi kama mtalaam kulingana na contents nwz sema hii ndo nzuri na hii mbaya.

0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
Asante mkuu good idea
 
Mkuu nimetumia zote blogger na WordPress na sites zote zipo hewani.

Ingawa sijawahi kufikiria kufukuzia mambo ya Adsense.

Huwa nauza huduma na kozi ninazotoa za Digital Marketing pamoja na digital products (Lesson plans, Schemes of work, Maazimio ya kazi na notes kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita) moja kwa moja kupitia hizo tovuti.

Kinachopatikana ni kikubwa kuliko kuwekeza muda na nguvu kwenye Adsense.

Kwa kulinganisha kwa uzoefu tu wa kawaida, WordPress naona ni nzuri sana hata kwa upande wa Adsense.

Ila kupata matokeo mazuri inategemeana na juhudi zako na utundu pia.

Suala la site kuwa ya WordPress au blogger sioni kama ni kigezo kikuu cha kuamua ipi inalipa upande wa Adsense.
 
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.

Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
WordPress iko vizuri ila changamoto kubwa ni Mbili.

1- Premium themes zote ni nzito kwahiyo zitakupa ugumu sana kwenye SEO

2- SEO ni ngumu sana kwahiyo kutokana na gharama za kuendesha WordPress blog kuwa kubwa utajikuta unalipia tu wakati unaingiza kidogo sana
 
Good idea kiongozi
 
Mkuu nimetumia zote blogger na WordPress na sites zote zipo hewani.

Ingawa sijawahi kufikiria kufukuzia mambo ya Adsense.

Huwa nauza huduma na kozi ninazotoa za Digital Marketing pamoja na digital products (Lesson plans, Schemes of work, Maazimio ya kazi na notes kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita) moja kwa moja kupitia hizo tovuti.

Kinachopatikana ni kikubwa kuliko kuwekeza muda na nguvu kwenye Adsense.

Kwa kulinganisha kwa uzoefu tu wa kawaida, WordPress naona ni nzuri sana hata kwa upande wa Adsense.

Ila kupata matokeo mazuri inategemeana na juhudi zako na utundu pia.

Suala la site kuwa ya WordPress au blogger sioni kama ni kigezo kikuu cha kuamua ipi inalipa upande wa Adsense.
Wewe ni blogger mkubwa umefikia hatua ya kuendesha biashara mwenyewe mkuu
 
Siyo kivile mkuu.

Hata wewe unaweza kuanza kufanya hivyo kwa kutengeneza blog yako maalum ya kufundisha watu yale unayoyafahamu kuhusu blogging au ujuzi wowote ambao unaona una uweza vizuri.

Au unaweza kuchagua bidhaa fulani ambazo unaona unaweza kuzipata kiurahisi Kisha unaunda blog simple ya kawaida maalum kwaajili ya kuuza hizo bidhaa.

Ujuzi wa SEO ni muhimu sana katika kufanya haya.
 
Kama unaanza blogging basi anzia na blogger
Ila kama una hela za kutosha za kulipia host na domain , fungua WordPress

Kwa sasa blogger ina errors kibao , Kama unauwezo wa kucheza na search console basi utapata traffic ya kutosha.
Ila kama search console huijui , utapata matatizo Kama : domain kutoonekana Google , na pages kutokua indexed.
 
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.

Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
Well binafsi naweza nikakushauri kama unatumia website zaidi ya moja tumia zote mbili kwa maana kuna vitu utavikosa kwenye wordpress na utavipata kwenye Blogger..

Mathalani unataka traffic kubwa na hutaki kutumia pesa nyingi kwa kuzipata ni vema zaidi ukatumia Blogger kwa maana mfano Afrika Mashariki watumiaji wengi wa internet search engine yao pendwa ni Google hivyo Blogger ni Mali ya Google.

Hutafikia kiwango chao cha posts wanazotaka kuanza kukuwekea traffic halafu ukakosa traffic lazima watakutumia traffic ambayo ni nzuri kulingana na Articles ulizonazo..
On the other way,
WordPress hata ukisema ununue plugins ambazo ni Search Engine Optimize nzuri bado hawa wana mbinu ya kutuma fake traffic ambazo ukiziangalia utaona ni traffic zinazotoka eneo lako lengwa lakini ukweli wake utaupata kwenye adsense account.

Upande wa watu waliotembelea tovuti yako (Sio watu walioview ads zako) yaani general visitors hata wale ambao wameclick na kuondoka (Sio walioclick tangazo) utawaona kwenye adsense dashboard kuna jinsi ukiiset..

Binafsi kunakipindi nilikuwa napata visitors 1,500 kwa siku kupitia blogger lakini nilihamia na kukaa Wp kwa miaka miwili nikawa napata 500 na hapo ukumbuke mbinu zote unazohisi unazifahamu nimeshatumia..

nikaipa 2yrs ili ikae vema na google matokeo yake nikawa napata 250 traffic kwa siku na kila baada ya mwezi utakuta Plugin moja au mbili zimecrash na bado umeweka automatic updates...

Kufupisha maelezo kama unafanya tovutia kama ajira yako ya kila siku yaani kila siku lazima uingie kufuatilia tovuti yako inaendaje basi Wordpress ni chaguo lako...

Lakini kama ni mtu wa matumizi ya mara 3 kwa wiki itakusumbua tu maana WordPress ni kwa matumizi ya watu ambao blogging ni ajira yao na hawana mambo mengine yanayoweza kuwataka kwa muda sahihi..

Nadhani hadi hapo kwa uchache nitakuwa nimechangia upande wa wewe kuita moja takataka na nyingine safi..

Twende kwenye ipi Bora kwa adsense...
99% blogger ni bora zaidi kwa adsense kwa maana ipo chini ya Google na Adsense vile vile ni chini ya Google
Kama unataka kutengeneza pesa za adsense vizuri bila mashaka tumia blogger wao wananjia ya kumuwekea matangazo hata mtu mwenye tovuti ya kiswahili japo bado sio official kuna vigezo utatakiwa kufikia....

Watu wengi hukimbilia Wp kwa kudhani ni vile kuna option ya kuunga Ezoic na Media na utumbo mwingine wa matangazo kutawaletea faida kubwa lakini tuchukulie mfano watu walioikimbilia ezoic kwa wordpress ajiri ya matangazo walikutana na nini...

Articles nyingi ambazo hata ukielezea tu sehemu za uchi vyovyote vile hata dawa ya fungus sehemu za siri hutapokea tangazo lenye support ya Ezoic hata kama utoe maelezo kuwa ni dawa na sio hivyo tu hata kwa articles nyingine kama hujafikisha maneno wastani 600 hadi 800 hupati tangazo la Ezoic maana wao wanajudge moja kwa moja utapata low traffic kwenye hiyo post...

Ni mengi ya kufuatilia lakini kwa thread yako imeonyesha ni mtu mwenye kutaka ushuhuda wa blogger au Wp ipi inaingiza pesa za adsense zaidi

Tuanze na Wp:
Hii hutopata senti nyingi za adsense kwa maana ili uweze kumaintain WP lazima kwanza umwage pesa ambayo haitakurejeshea trust me utakuwa huna tofauti na watu wanaocheza vikoba hivyo Wp inamfaa mtu ambaye website yake ni ya biashara yani yenyewe inafaida ndani yake watu wakitembelea.

Tuje kwa Blogger:
Hii utapata senti nyingi za adsense lakini maarifa yake utatakiwa u block unwanted ads zote zenye kuleta matangazo yenye malipo madogo na zipo nyingi sana lakini trust me ukitenga masaa matano ya siku moja kwa ajili ya kufunga hizi basi ndani ya siku 2 zijazo utaona mabadiriko kwenye mapato yako..

Imagine wewe katika tovuti yako unaonyesha matangazo ya 0.008$ ni sawa na 0.8$ kwa watembeleaji 100 na mwenye tovuti mwenzio anaonyesha ya 0.20$ ni sawa na 20$ kwa watembeleaji 100 sasa tuangalie mara 100....... nadhani jibu utalipata..

Most of the time matangazo makubwa huonyeshwa automatic kwenye tovuti kubwa na madogo huonyeshwa kwenye tovuti ndogo sasa ili uweze kwenda nao sawa lazima uzingatie uchambuzi wa matangazo na ndio msaada wanaokupa Ezoic uchambuzi wa matangazo ya kukuonyeshea!!! kwa nini usifanye mwenyewe???

Hawana tofauti na madalali in the end wao wanapataje pesa????

Hivyo kama ni mtu kuuza bidhaa zako mwenyewe kwenye tovuti yako basi Wp itakufaa zaidi lakini kama ni mtu wa kufundisha chochote kwenye tovuti yako basi blogger is the best nayo uizingatie katika templates zake maana zingine ukiwa nazo kweli kabisa utaona blogger ni muozo.

lakini ukiwa na ambazo ni sahihi basi blogger ni almasi.. in fact nani kaanza kuuza ads?

The same goes to Wordpress ukiwa na hosting nzuri nayo jitahidi isiwe ya HTML website pia jitahidi usiwe na too much unused CSS na codes za ajabu ajabu na kama utaweza domain na hosting yako iwe kwa kampuni moja japo utatakiwa kila baada ya muda fulani ulipie which is not good kwa mtu atakae kuwa na website ambayo haimuingizii pesa zaidi ya matangazo tu...

Adsense Payment.jpeg

Sijui kama hicho kipicha kitakusaidia kupata uthibitisho unaotaka.

Rakims
 
View attachment 2582809
Sijui kama hicho kipicha kitakusaidia kupata uthibitisho unaotaka.

Rakims

Nimekuelewa sana! Mpaka nimetamani na mimi nifungue blog yangu nifanye kazi zangu... kwa kweli hii ni elimu kubwa sana...
 
Asante mkuu. Japo mwanzo huwa mgumu kwa wenye kufanya web designs lakini pia hata kwa ITs ni nguvu jambo la kuzingatia usichukue paragraph ya mtu wa google miezi 6 au zaidi iliyopita ukaweka kwako hutapata traffics kwenye hiyo post unless uimodify sana..

Watu wengi wanajaribu kucheza na AI ili wakuze website haraka lakini utamaliza miezi 6 bila traffic 1000. labda ucopy kwa AI kwa kuandika wewe mwenyewe kwa maana Blogger wanadetect hadi muda ambao umetumia kuandika makala yako.

Rakims
 
Ngoja nikuambue kitu, nina uzoefu na blogging kama 4+ years pia ni Developer, Programmer + IT Solutions....

*Wordpress ni kweli inukupa flexibuility kubwa ya plugins na themes mbali mbali... ila iko slow sana kwani ina loads macode mengi, hivyi utalazimika kupata hosting ya juu kidogo kuhandle load/traffic

Faida za wordpress over blogger
-> More plugins, flexibility and features in CMS

-> Unwz ku-customize codebase ya theme au plugins au website kiujumla

-> Pia kwa ads za adsense kuna plugins nyingi za kukusaidia kama kuweka ads sehem nzuri, kumedify code bila kuwa na skill kubwa.

Hasara za wordpress over blogger

-> It slow down website kwani ina codebase kubwa ya plugins au theme, hivyo mambo ya SEO ni bad factor kwa google, so utalazimika kuwa na hosting yenye bandwith kubwa, RAM na storage kubwa... hivyo hasara ya pesa ya renting server na SEO issues

-> Ina updates nyingi sana za plugins na themes hivyo unwz kuta website ime crash at any time kama haupo active ku-update plugins na theme... ina tatizo na mambo ya compatibilty with PHP Version unakuta plugins zingine zinta PHP version 8 ila hosting akaunti yako ni shared hivyo unapangiwa PHP Version unakuta ipo mwisho 7.4 supported, ukipugrade inagoma labda iwe dedicated which is cost

Faida za blogger over wordpress

-> High speed,
-> low codebase in general for website/blog
-> no updates since google handle all tasks
-> haina mambo mengi straight to content
-> free storage (<<20GBfor media (photo,video)

-> Ukipata mtu anyejua unapiga hela adsense vzr tu

Hasara zake za blogger over worpress

-> haina flexibility kubwa ya kuedit au cuastomize codebase ya blog/website

-> haisapoti backend languages kama PHP,Python ni JS, HTML na CSS

-> No freedom, no email server for sending to your traffics/visitors

======= final thought ====

zote ni nzuri, kulingana na mahitaji yako , mimi kama mtalaam kulingana na contents nwz sema hii ndo nzuri na hii mbaya.

0763 84 84 32, Dar es salaam, Ubungo
KAKA NAOMBA USHAURI MM NINA BLOG YANGU YA NEWS A MPANGO WA KWENDA WORD PRESS JE NIENDE AU NIBAKI TU HUKU
 
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.

Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.

Havina uhusiano na Mpunga. Ni sawa na useme nikijengea tanga cement au Dangote ipi nyumba itapendeza?

What matters kwa Mpunga ni Quality content and page engagement, mengine , trash.

But wordpress ina support kubwa na kufahamika, with a lot of plugins kurahisisha designing, but no uhusiano na Mpunga.
 
Asikudanganye mtu, pesa haiji kwasababu contents nzuri au mbaya....no ku factors SE kama Google wanaangalia, kwa wewe content za news nenda blogger ila nunua theme premium kama 20$ muonekano uwe mzuri... pia domain name nunua premium then connect na blogger,

  • blog yako itakuwa fasta
  • utaokoa gharama za hosting kila mwaka
  • hauhitaji ujuzi mkubwa, managinig blog
NAOMBA NIELEKEZE MKUU NAKUJA PM
 
Kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka mitano, nimetumia blogger na WordPress niseme tu kwamba mpunga wa Adsense haijalishi unatumia ipi kati ya hizo.

Unaweza ukapiga mpunga mwingi kwenye yoyote ile, au ukapiga mpunga mchache kwenye yoyote ile.

Labda niseme hili kwa faida ya wasomaji wote

Kupiga mpunga mwingi Adsense inategema na vitu vifuatavyo

1. Niche- kuna niche zina (cost per click) CPC,Cost per 1,000 Miles (CPM) kubwa kuliko nyingine
2. Quality of your content- hapa kuna vitu kama Length, relevancy, origality etc.
3. Traffic location- nchi kama US, UK, CANADA, NEW ZEALAND etc hizi zina high CPM na CPC. Ila kama unatraffic ya TZ au africa basi lazima uambulie visent tu.
4. Traffic source- organic traffic ina earnings nzuri kuliko referral au social traffic
5. Vitu vingine ni kama season, device used (mobile, desktop, tablet), etc.

Kwa hiyo haujalishi unatumia WordPress au Blogger hivyo vitu hapo juu ndo vitaamua unapiga mpunga kiasi gani .

Ila if you are treating your website/blog like a business basi utahitaji sana WordPress.

Ila kama unafanya blog yako kama hobby Blogger itakutosha.

Kwa swali lolote kuhuiana na Adsense, blogging au SEO karibu.
 
Clicks nyingi za Ads.
Watu wakiangalia Ads bila ku-click revenue inakua ndogo.
Ila ukiwa na visitors wanao-click Ads sana inaongeza revenue , pia unapewa Ads zenye RPM kubwa
 
Back
Top Bottom