Search results

  1. M

    Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya Yanga kwenda na kurudi nchini Afrika kusini ili kwenda kuishangilia timu hiyo itakapoumana na timu...
  2. M

    Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Mkuu umesahau, mtaji wa Yanga siku zote ni mpira wa kasi, siku ya Al Ahly walijaribu kupiga kwa kasi lakini Al Ahly waliwadhibiti sababu nao walipiga kasi!
  3. M

    Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Hahahaa! Sawa bhana maana nimesikia hata kwenye kamati za ujenzi wa miradi kuna kamati za ndumba!
  4. M

    Robo fainali na Al Ahly Vs Simba iongeze uwekezaji wa mbinu katika maeneo haya

    Siku ya Tarehe 29 Mwezi huu wa March 2024, Timu ya Simba itatupa karata yake ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa mechi za robo fainali dhidi ya miamba ya soka Afrika, Al Ahly Sporting kutoka nchini Misri . Sote tunatambua ugumu na umuhimu wa mchezo huo ambao kwa upande wa Simba ndio utakaotoa...
  5. M

    Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Mwaka jana serikali ilitoa hilo agizo mwezi march na baadaye mwezi July zikapitishwa form kwa walimu waliostahili mserereko kujaza kisha zikapandishwa kushughulikiwa, kama hukufikiwa basi ni bahati mbaya na fursa imetolewa tena mwaka huu
  6. M

    Je, ni walimu pekee ndio watumishi wenye kero ya kuhitaji madaraja mserereko?

    Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika kushughulikia kero za walimu dhidi ya kero za watumishi wengine, Mfano kwa miaka miwili mfululizo sererikali...
  7. M

    Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

    Kwanini vyombo vya habari vingine vilivyoripot hiyo taarifa havikusema hayo mambo ya kubura mkia? Au ulifikiri walisahau Ama yeye anajua sana kuripot taarifa!??? Hakuna taaluma ya Habari inayoelekeza kuripot mambo katika namna ya kudhalilisha au kutweza utu, Hata uhuru wenyewe wa kupata habari...
  8. M

    Simba kucheza mechi ya kirafiki na Al Dhafra inayoburuza mkia ligi ya UAE Pro League

    Utopolo unateseka ukiwa wapi huko? La hiyo mechi sio kutafuta ubingwa wala kupanda nafasi ya msimamo wa ligi, lengo ni kocha mpya kutaka kuwapima wachazaji wake ili kufanya marekebisho muhimu yanayohitajika! Kocha yeyote Mzuri hawezi kuchagua timu ngumu, atachagua timu ya kawaida ili mchezo uwe...
  9. M

    Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Hakuna kitu kama hicho! Ule uamuzi ulikuwa uamuzi binafs wa JPM na aliutoa siku alipokuwa akipokea ripot ya Tume ya Uchaguzi! Kuna mambo mengi tu ambayo yalikuwa yakiamuliwa au kushauriwa au kupendekezwa na hivyo vikao lakini yeye akitoka huku nje anapiga anavyojua yeye au hukuwahi kumsikia...
  10. M

    Simbachawene atetea uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara. Avuliwe Uwaziri!

    Katiba haisemi hivyo! Kwanza mantiki ya mikutano ya hadhara sio kupinga maendeleo wala kukosesha utulivu katika umma, Bali ni kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali yahusuyo mustakabali mzima wa maisha yao. Ni fursa ya kuwezesha wananchi kujua serikali yao inawatoa wapi na kuwapeleka wapi...
  11. M

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Kweli mshukuru Mungu alokupa uwezo wa kujitambua hata pale unapokuwa na ugwadu! Au niseme ni ugwadu ulikuwa haujakukamata sawasawa! Kama watu wanabaka hadi vikongwe sembuse huyo mrembo alojileta mwenyewe!!!?
  12. M

    Rais Samia ukigusa Katiba Mpya ndio itakuwa kaburi lako la kisiasa

    Acha kumtisha Mama, Kwanza huna hadhi hata ya kumwita Dada kwani upeo wako unaonyesha wewe ni kijana mdogo mwenye ushauri wa kitoto kabisa!
  13. M

    Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

    Ujue wacha Mungu wengi kwa kawaida na hasa wazazi hupenda kuona nyumnba nzima mkienda Kanisani kiusali, hivyo kama kuna mtu ndani ya nyumba hiyohiyo haendi kusali hujiona kama vile wanaishi na shetani na hivyo ndio maana Mama yako anaumia na kukwazika unapoonekana kutopenda kusali! Pia kumbuka...
  14. M

    George Mpole amka la sivyo utapotea

    Tusimfokee Mpole tumuulize kwanza shida ilipo! Tunapaswa kukumbuka kuwa kuna baadhi ya viongozi kwenye vilabu vyetu ni wadanganyifu na wababaishaji sana! Kumbuka Mpole alitaka kusajiliwa na vilabu vya Simba, Yanga na Azam lakin kuna mbinu zilitumika pale Geita gold ikiwemo kumuahidi dau zuri...
  15. M

    Faida za mkopo wa muda mrefu na mfupi

    Kiukweli faida za kila mkopo uwe wa muda mrefu au mfupi utazipata kulingana na jinsi ulivoutumia mkopo kwa malengo. Mikopo ya muda mfupi faida zake ni kwamba deni litawahi kumalizika mapema hivyo hivyo hata kama uliwekeza kwa hasara athari zake zitakutesa kwa muda mfupi then you get recovery...
  16. M

    CCM 2022 na uchaguzi wake inarudi mikononi mwa matajiri, wananchi masikini ondokeni haraka wenye chama wanarudi

    Katiba mpya ndio suluhisho la haya yote! Tukiwa na katiba bora hatutangojea kiongozi wa kuja kuwafagia mafisadi bali katiba tu itaweka misingi ya kuchuja na kupata viongozi waadilifu tangu ndani ya vgyama hadi serikalini!
  17. M

    Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Kisheria sio sawa ! Lakini kibinadamu ni sahihi tu kwakua ni baba yake mzazi! Hivyo kama mtoto ana afya njema mwache tu akae nae! Kuna namna wanawake huwa hamueleweki utakuta mtu anasema kamwe siwezi kuacha mwanangu alelewe na mwanamke mwingine , sasa mumeo hajaoa mke mwingine lakin bado...
  18. M

    Je, kisheria hii imekaaje?

    Hapo umepambana kivyako lakini sheria haielekezi hivyo! Jiridhishe kwanza kama hakuna uwezekano wowote wa ninyi kurudiana maana ugomvi wa wanandoa unaweza kususuluhishwa na maisha yakaendelea! nHivyo usiwe na pupa ya kufanya maamuzi yoyote yale! Kama uwezekano wa kurudiana haupo , kwamba...
  19. M

    Dodoso: Tatizo la Tanzania sio CCM

    Mkuu mbona bado hujadadavua sawasawa, Je nani anayejenga mazingira ya kuwafanya wananchi kuwa waoga??? Tukipata jibu ndipo tuanzie hapo!
Back
Top Bottom