Search results

  1. K

    A human being is a Trichotomy

    Mtu ana roho ndani ya mwili na anayo nafsi ama mlango wa mawazo , (vitu vitatu kwa pamoja vinafanya mtu), Mtu akifa mwili unarudi ardhini kwa kuoza , roho inabaki milele , roho inajua vitu vingi vya rohoni (giza/mwangaza) inategemea na mrengo wa mtu mwenyewe , lakini roho huongeleshwa karibu...
  2. K

    Ili kufanikiwa, unahitaji nini kati ya kufanya kazi kwa bidii ua kujuana na watu?

    Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni, Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri. Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza...
  3. K

    Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo. Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia. Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya...
  4. K

    Msimamo wa Benjamin Netanyahu mwaka 1978 akiwa bado kijana kabisa

    Hakuna taifa linalotaka Amani mashariki ya kati kama Israel, kila mmoja anaugombania mji mtakatifu Jerusalem.
  5. K

    Kiini cha kwanini Wayahudi wanalinda nchi yao kwa jasho na damu

    Before the state of palestine, there was a country called Israel but the Nazi, Russians, and Allied members killed and pushed jewish out of their land that was located around mt. Zion, later After the defeat of Germany and it's Nazi allies, USA, Britain, France and it's Triple Entente decided to...
  6. K

    Iits a disgraceful to defend palestinians

    Palestine issue is a none event as compared to the brutality being faced by people of colour throughout this continent, 21palestines killed recently cant be compared to hundreds of blacks dying in Nigeria alone not mentioning Mozambique,Somalia,Sudan and Cameroon. Africa have no right to comment...
  7. K

    Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
Back
Top Bottom