Ili kufanikiwa, unahitaji nini kati ya kufanya kazi kwa bidii ua kujuana na watu?

Kadosh

Senior Member
May 6, 2021
168
250
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni,

Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri.

Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza tena kwenye maisha asikudanganye mtu, its not about hard work mkuu, its about connection, je mna mifano ya watu waliofanikiwa kwa hard work bila connection?

Naiomba tafadhali.
 
Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,093
2,000
It's all about smartness. Ukiwa smart utapata connection, pia ukiwa smart utajua wapi paku-apply hardwork.

Hardwork tu huwezi toboa bila kuwa smart.

Connection, hakuna mtu anayehitaji kutoa fursa kwa mtu asiye na uwezo wa kujiongeza au uwezo wa kufanya kazi husika vizuri.
 
Dec 31, 2020
83
125
Unaweza usiwe na connection yoyote na ukatoboa kinachoitajika kama uko town kama dsm ni akili yako tu ni rahisi sana kua mjanja ndani ya miezi tu unaweza ukawa unajua kila kitu na ukawa babilon watu wakajua una pesa kumbe timing tu ..akili ndio ya kuichezesha.
 
Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
424
250
unaweza usiwe na connection yoyote na ukatoboa kinachoitajika kama uko town kama dsm ni akili yako tu ni rahisi sana kua mjanja ndani ya miezi tu unaweza ukawa unajua kila kitu na ukawa babilon watu wakajua una pesa kumbe timing tu ..akili ndio ya kuichezesha
Kweli mkuu! kwan unafanya biashara gani unipe ata wazo, coz nyie wakina sanga mpo vizuri sanaa kwenye Biashara.
 
Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
4,218
2,000
Bila connection ndugu zangu kutoboa itagarimu kidogo!

Niko kwenye kazi yangu kwa muda was miaka 15 mpaka Sasa Kuna wadau kibao wametoka ila kilichowezesha Ni connection tu, sisi wengine pamoja na usmat, upole, huruma, bidii bado tumeambulia daraja la chini mno.

Naombeni connection wakuu mambo ya Carpenter.
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
7,593

Umesahau majungu na kujipendekeza
 
Political stability

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
470
1,000
Mimi connection za hela huwa nazipata nikiwa bar, unakutana na watu tofauti hata huwajui, na connection zinaanzia hapo..
 
Bhakusyobhile

Member
Aug 1, 2018
47
125
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni,

Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri.

Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza tena kwenye maisha asikudanganye mtu, its not about hard work mkuu, its about connection, je mna mifano ya watu waliofanikiwa kwa hard work bila connection?

Naiomba tafadhali.
Fanya kazi kwa bidiix1000000000000,lima kiangaz na masika,fuga kiangazi na masika,Tengeneza bidhaa bora na kwa wingi kadri watu wanavyohitaji ili wewe ndio utafutwe..Tengeneza mfumo wako kamwe usiingie kwenye mfumo ambao wametengeneza wengine maana utaanza kuona connection ni kitu cha maana..na kumbe hakuna connection bila bidii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom