Mtu ana roho ndani ya mwili na anayo nafsi ama mlango wa mawazo , (vitu vitatu kwa pamoja vinafanya mtu),
Mtu akifa mwili unarudi ardhini kwa kuoza , roho inabaki milele , roho inajua vitu vingi vya rohoni (giza/mwangaza) inategemea na mrengo wa mtu mwenyewe , lakini roho huongeleshwa karibu mara 40 kwa siku na mtu asisikie
Inaweza kuongeleshwa na Mwanga/Giza.
Lakini pia kwanini mtu ana utatu?ni swali linalohitaji majibu ya watu wasomi wa mambo ya kiimani !
Je unaamini katika utatu wa mtu mmoja?yaani roho, mwili na nafsi?
Je wew unaongozwa na kipi kati ya hivi vitatu?