Matthew 24:4-8
[4]And Jesus answered and said unto them, Take heed that no man deceive you.
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
[5]For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many.
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni...
Mkuu kwanini uwepo wa migogoro unaihusisha na kutokuwepo kwa Mungu badala ya wanadamu kukiuka matakwa ya Mungu??
Maana yote yanayotokea yalishasemwa na Mungu kupitia Biblia juu ya nyakati za mwisho.
Kama anavyojieleza Mungu wetu ni Mungu wa upendo na hawezi fanya jambo lolote bila kuwaambia...
Jamaa aweza Kuwa kauwawa maana DMO fedha nyingi za vituo vya afya,hospital na vifaa tiba zinamtegemea yeye katika uidhinishaji hivo hiyo kukutwa gest ikawa geresha ya kuficha kilicho nyuma ya pazia.
Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi.
Nilipokuwa kidato cha kwanza kuna mtu aliniuliza umri wangu, wakati natafakari kutoa jibu ndugu yangu aliye karibu akadakia nakusema 14, Jibu la ndugu yangu huyu lilinifanye niwaze,Sio kama nilikuwa sijui umri wangu laaah, baali ni utata nliouhisi katika hesabu...
Mwanzo 5:27
[27]Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
And all the days of Methuselah were nine hundred sixty and nine years: and he died.
Ni kweli mwonekano wa nje ndio tafsiri ya kilichoko ndani, lakini hiii haimaanishi wanaoenda kanisani wote ni watakatifu bali kanisa ni karakana ya kuwaandaa wadhambi wamfahamu Yesu.
Kwa sasa Tofari moja hujengwa kwa 400 hivo 400 x 1800 = 720,000
Uza kazi yote kwa sh 690,000 hadi 750,000 Range nae humo ila usilipe day maana unaweza fanyiwa vimbwanga.
Pia usipigiane kwa Tofari kwani mafundi hujenga haraka bila kufuata ubora na muonekano wa kazi. Ila kama utasimamia mwenyewe...
uintrovert nauchukia, unamfanya mtu mambo mengi unakaa nayo rohoni. ila tumaini bado lipo, usipende kukaa mwenyewe Muda mwingi, penda kuimba, penda kusikiliza mziki wa taratibu usio na midundo, lia pale upatwapo na maswaibu, pia tafuta washauri wa saikolojia.
Mwisho Yesu ambaye ni tumaini letu...
Nilimsoma mwandishi mmoja aliesema hitaji nambari moja kwa mwanadamu ni upendo. pindi upendo ukosapo mtu hutafuta kila namna ili kujifariji.
katika kitabu cha 1 Yoh 4:8 inasema "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu kwa maana Mungu ni pendo"
hivyo Mungu ambaye ni source ya upendo...
Kwao na shemeji yangu ni wafugaji, kama tujuavyo katika msimu wa kiangazi sehemu za malisho kwa mifugo huwa changamoto.
Katika kusaka machimbo ya kulisha mifugo wakabaini ya kuwa upande wa pili wa mto mara kunamajani mengi yanayowafaa mifugo yao. Hivo wakawa wanavuka mto na mifugo na kwenda...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Tunamshukuru Muumba kwani nchi yetu imejaaliwa kuwa na mito mingi mikubwa kwa midogo, ile ya msimu na isiyo ya msimu. Mito hii licha ya kupendezesha sura ya nchi imeleta pia changamoto za usafiri tokea upande mmoja kwenda upande mwingine.
Nilipokuwa kijana mdogo...
Ahsante sana kwa Mwongozo mkuu, naomba kuuliza tena usinichoke, TAMISEMI wameelekeza ukaguzi wa michoro ufanywe katika eneo moja (One Stop Center) kabla ya kibali kutolewa kwanini tena nitoke kuwafuata Zimamoto peke yao???
Shukran mkuu, Hiyo nyaraka ninayo, na ilipatikana baada ya kufuata taratibu zoote na hatimae kukabidhiwa. Licha ya kuwa na nyaraka hizo Zimamoto bado wananilipisha faini. Je! Ninalisolve vip bila ya kulipa faini wakati kibali ninacho??
Asalam Alekum ndugu zangu,
Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi.
Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
Enzi hizo nilipokuwa chuo nlivutiwa na kuleta suluhisho la mlundikano wa mahabusu katika kituo cha polisi mwananyamala, hivo project yangu ikawa kudesign hicho kituo cha polisi.
Ili kupata data zake ilinibidi kuzunguka tokea kituo cha mwananyamala,osterbay,wizara ya mambo ya ndani na hatimae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.