The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,341
Sijui hata kama shule ulienda, na kama ulienda sijui kama ulimaliza hata darasa la 7.punguza stess enjoy maisha mkuu kwani huyo Mungu akiwepo au asipokuwepo kwa akili yako unadhani kuna nongwa basi,
ni vile umeamua kujipa faraja tupu kwa kusema hayupo ila powa tu hainihusu!
Badala ya kujibu hoja umekalia kunishambulia personally, mara nina stress, sijui nini, sasa sijui umekua mke wangu hadi ujue mood zangu zikoje hata sielewi.
Nina stress ama sina sio hoja, hoja ni uwepo wa mungu. Jadili hoja achana na mimi. Mimi kua na stress ama kutokua nazo bado hujajibu hoja kwamba mungu hayupo.
Shida ya Jamii Forum unajikuta unajibizana na watu wenye shule ndogo, exposure ndogo, uelewa mdogo na akili ndogo na vitu kama hivyo. Hawajibu hoja, hawana hoja, hukimbilia kutukana watu. Tatizo kubwa sana.