Ni kijana tu nimewahi kufanya naye kazi.Fundi mwenyewe ni shemeji yetu sio
Kazi alizofanya ? Ni fundi full fundi au tuseme ni engineer wa kujengaNaomba uni inbox Kazi alizofanya huyo fundi mkuu
Katika hesabu za ujenzi hakuna kitu kinaitwa kipande mkuu vyote huhesabiwa kama tofar zima na bei yake ni hiyo hiyo.Hapo ni tofali bila vipande..maana tofali Moja linaweza toa vipande viwili hadi vinne..au utahesabu tofali tu ulizoleta
Heeee yaani nipige nyumba picha nikutumie,Ndo Naomba nione hizo Kazi kama unazo
Eneo flat kabisa..site ipo dsmsite iko wapi?
Kiwanja kiko flat au kina bonde...
makadirio pia yatazingatia vitu hivyo, kujenga msingi sehem flat ni tofauti na kujenga bondeni..
NB: mafundi wa bei rahisi wanatabia ya kukimbia ikifika kozi ya tano, maana kujenga kozi za juu si rahisi na ukuta wako ukipinda, utaumia sana kwenye plasta