Obimbo
Member
- Nov 17, 2020
- 35
- 36
Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi.
Nilipokuwa kidato cha kwanza kuna mtu aliniuliza umri wangu, wakati natafakari kutoa jibu ndugu yangu aliye karibu akadakia nakusema 14, Jibu la ndugu yangu huyu lilinifanye niwaze,Sio kama nilikuwa sijui umri wangu laaah, baali ni utata nliouhisi katika hesabu.
Nlichukua tena mwaka ule tulokuwepo na kutoa mwaka nlozaliwa mfano (2022-2008)= 14. lakini nlitafakari idadi ya namba zilizopo tokea 2008 hadi 2022 (ukitokea kwenye mfano) ni 15 kwanini miaka yangu isiwe 15 badala ya 14 wakati zote ni namba kamili? nikajifariji kwa vile mwaka ili ukamilike ni vyema uwe na miezi 12.
Utata ukaja kwenye namba ambazo haziitaji ukamilifu wa miezi 12 ili upate mwaka. kwa kweli nilikosa majibu na wote nliowauliza walikuwa wakinibeza. mfano 4-2=2 lakini tokea 2 hadi 4 kuna namba 3 yaani 2,3,4 kwanini jibu lije 2? je niwakatigani namba katika hesabu za kutoa inakuwa inclusive (within range) na wakati gani inakuwa exclusive (out of range)??
Karibuni mnitoe ujinga wadau.