Wizara ya ardhi Dodoma inachukua maeneo ya wananchi na kuwadanganya kuwa serikali inafanya miradi ya mashamba darasa lakini kumbe ni uongo. Wanachukua ardhi wanapima halafu wanapewa viongozi. Cha kusukitisha zaidi fidia wanayotoa ni ndogo sana sana. Wananchi wamedhulumiwa maeneo yao wakijua...
Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi.
Naomba kupata msaada wa mawazo...
Maisha ni mafupi sana ndugu yangu. Nakushauri achana na revenge ya kuwaumiza. The best revenge ni KUKAA KIMYA, PRETEND KAMA HAKUNA WALICHOKUFANYA. Inataka moyo wa jiwe sio rahisi
Dah hivi unaanzaje mukpa kaka yako hela akushikie? We ni mtoto sana kiasi kwamba ukikaa nazo utanunua chips? Usimplaumu kaka yao, wewe ndo umefeli hapo. Ushalizwa lakini bado unampa pesa yako hahaha. Hebu simama mwenyewe kama mwanaume achana na kumshirikisha huyo kaka ako
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
Mh eti utafiti binafsi :p:p Skia brother, ukiona wanawake wote unaokutana nao sio wife material basi ni dhahiri kuwa hata wewe sio husband material teh. Wenzio ambao ni ma- husband ,material mbona wanakutana na ma wife material na wanafunga ndoa kila kukicha?
Jitathmini upyaaa🤣🤣
Pole kwa kumpoteza mume jamani ila nadhani hutorudia tena huo mchezo. Binafsi siigusi simu ya mume wangu kwa sababu kubwa 3;
1. Nina moyo mdogo kama nukta, naogopa untimely death.
2. Sitaki talaka kabisaaa maana nina watoto na kipato changu hakikidhi kuwalea wanangu, I need my husband katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.