Search results

  1. Duplicate_90

    Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  2. Duplicate_90

    Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  3. Duplicate_90

    Mswada mpya wa Sheria kuwakinga hata wapinzani watakaposhika hatamu

    Mswada wa sheria unaopelekwa bungeni kumkinga Rais, Jaji Mkuu, Spika na Naibu dhidi ya kushtakiwa wakiwa madarakani, unaweza kuwa na manufaa hata kwa wapinzani endapo watashinda uchaguzi na kuunda serikali. Kwa upande wangu binafsi sina shida sana na hilo ila nina maswali kama matatu hivi. 1...
  4. Duplicate_90

    CHADEMA kususia vikao vya bunge kuelekea uchaguzi mkuu ni dalili za kushindwa

    Ni mara kadhaa sasa Chadema wamekuwa wakitoka nje au kususia kabisa vikao vya bunge kwa lengo la kuonesha kutokukubaliana na maswala mbalimbali ndani ya bunge la jmt. Utaratibu huu umekuwa ukileta mgawanyiko mkubwa wa wabunge wa chadema kwa maana ya upande wa wanakubaliana na maamuzi na...
Back
Top Bottom