Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Ni mara kadhaa sasa Chadema wamekuwa wakitoka nje au kususia kabisa vikao vya bunge kwa lengo la kuonesha kutokukubaliana na maswala mbalimbali ndani ya bunge la jmt. Utaratibu huu umekuwa ukileta mgawanyiko mkubwa wa wabunge wa chadema kwa maana ya upande wa wanakubaliana na maamuzi na wasiokubaliana na maamuzi hayo. Hata hivyo wengi wao wamekuwa wakikubaliana na maamuzi hayo kishingo upande kwa kuogopa kufanyiwa fitna kwenye chama. Wapo wanaotegemea posho za kila siku bungeni kulipa mikopo na kugharamia miradi yao. Kundi hili halijawahi kukubaliana na maamuzi hata siku moja!
Je? ✓Chadema haioni inawanyanyasa wabunge hao ambao hawakubaliani na maamuzi hayo?
✓chadema hawaoni wanapswa kubadilisha approach hii kwa kuwa haijawahi kuzaa matunda na haijawahi kuwazuia wabunge wa ccm kuendelea na shughuli zao za kibunge?
✓ je, hawaoni ni muda mzuri kutumia muda huu kuwatetea wananchi wanaowawakilisha hasa kuhusu janga la corona kwa kutumia platform ya bunge?
✓je kwa kususia vikao vya bunge, mbunge wa ccm akifariki kwa corona watafurahi?
✓Ni kwann hata wasihudhurie wachache km wawakilishi kwa tahadhari kubwa hata wakienda wakiwa wamevaa PPE?
Mwisho: huu ni mwaka wa uchaguzi wananchi tukwepe aina hii ya wabunge wanaokimbia majukumu yao!