Search results

  1. monongo

    Mpenzi wangu ananilazimisha nizame chumvini

    Hivi wewe unasali kweli?
  2. monongo

    Katiba

    Njoni ndugu watanzania wenzangu tuijadili ile ile rasimu ya mzee Warioba kwani ilikuwa nzuri Sana.
  3. monongo

    Katiba

    Katiba mpya jamani ni ya muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, kwani tunapoelekea ni pabaya kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali.
  4. monongo

    Maisha yamenipiga sana ila ninataka kutengeneza 50m kabla ya mwaka huu haujaisha

    Mimi binafsi sijakuelewa brother, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. monongo

    Natafuta kazi

    Mbona kazi zipo tu tena nyingi sana, tatizo vijana walio waengi wanajua kazi ni mpaka uajiriwe serikalini, unaweza wewe mwenyewe ukajitengenezea ajira na ukawaajiri wengine. Kama una nia kweli nitafute kwa namba 0714452555
  6. monongo

    Wakala wa huduma za ajira (TaESA)

    Kumbe wanachosema ni ukweli sasa, miyeyusho
  7. monongo

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Unajua ni aibu sana, mfano unaanda chakula cha watu 400 wengi na unawaalika waje kula chakula halfu wanahudhuria watu 150 tu, je wewe mwaandaji utajisikia je katika jamii unayoishi nayo?
  8. monongo

    CHADEMA hawajahudhuria sherehe za uzimaji mwenge na kumbukizi la mwalimu Nyerere huko kusini

    Hakuweza kwenda kule Lindi kwa sababu hakuna utengamano na vyama vya upinzani na chama tawala.
  9. monongo

    Bungeni Dodoma: Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai apiga marufuku Wabunge kubandika kope na kucha

    Hata Mimi nakubaliana na Job Ndugai maana hawa mama zetu wana matatizo makubwa dhidi ya miili yao na urembo.
  10. monongo

    Tundu Lissu: Ndugu zangu popote Tanzania na nje ya Tanzania, nawapa salamu za upendo na furaha kubwa

    Oh pole sana kamanda wewe ndio umepata jeraha la mauti,unabii kwa ufunuo waYohana umethibitisha kabisa andiko hilo,
  11. monongo

    Makabila 10 yanayoongoza kwa ubahili huu

    Mimi naomba nimwuulize huyo mtoa Uzi huu, hivi ni kabila gani linalotoa pesa hovyo hovyo bila mpangilio kwa hapa Tanzania? Au ni kabila gani linalopanga pesa barabarani ili kila anayepita anajichukulia bila kuulizwa?
  12. monongo

    Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Kumbe MNA mpango wa kujiengua@#Zanzibar
  13. monongo

    Hii ni awamu ya CHADEMA kufutika kama chama kikuu cha upinzani nchini

    Mimi sishangai kwa yote yanayofanyika katika siasa za hapa kwetu, maana toka mwanzo mkuu alishasema kuwa ole wake kiongozi yeyote atakaye tangaza kuwa mshindi ni WA upinzani,atakuwa amejifuta kazi. Hata kama ningekuwa Mimi nisingechafua kitumbua changu
  14. monongo

    Hii ni awamu ya CHADEMA kufutika kama chama kikuu cha upinzani nchini

    Chama kinachoandaliwa ni ACT wazalendo
  15. monongo

    Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

    Sasa kama ni hivyo ukweli Upo wapi?ikiwa kila mmoja anajaribu kutetea upande wa serikali tu?
  16. monongo

    Mzungu atoa ushuhuda alivyolala na wanawake weusi 1400 ndani ya miaka 2 waliokuwa wakijipendekeza kwake

    Kweli Huyo jean Michael, alikuwa jini mkali. Hayupo mwanaume wa namna hio.
  17. monongo

    Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

    Mtoa post hii,tumia akili ya kuzaliwa na sio utumie makamasi, Hivi wewe kama mzazi mwema,unaweza kuua wanao halafu ukaanza kumlaumu jirani yako kuwa ndiye anayeua watoto wako?
  18. monongo

    Matokeo ya utafiti kutoka Ubongo Plaza; CHADEMA kushinda Kinondoni kwa 54.8%, CCM 45.2%. Jimbo la Siha CCM kushinda

    Mimi siamini chochote hapo Hadi nione maana hao NEC siwaamini hata chembe.
  19. monongo

    Matokeo ya utafiti kutoka Ubongo Plaza; CHADEMA kushinda Kinondoni kwa 54.8%, CCM 45.2%. Jimbo la Siha CCM kushinda

    Cha mhimu tu ni kumwomba Mungu,Mimi ninachoona hapo Kinondoni ni umwagikaji wa damu nyingi sana kwa watu wasio na hatia.
  20. monongo

    Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

    Makofi hayaleii wala kumrekebisha mwanamke, Japokuwa wanaudhi sana hawa watu.
Back
Top Bottom