Kwani lini ulifanyika UCHAGUZI TZ,
Tanzania hakujafanyika uchaguzi kunafanyika UCHAFUZI.
Kama haujawahi kufanyika Uchaguzi unasemaje ulishinda Uchaguzi?
HIVI UCHAGUZI HUFANYWA NA TUME ILIYOCHAGULIWA NA UPANDE WA MSHINDI ?????? KUNA HAKI HAPO
Hivi jambo unaloamini hutendewi haki Kwanini ushiriki?
Bila kushiriki tusingaliyajua maovu yenu. Tulifikiri mtaweka historia duniani kwa kuweka Tume yenu ambayo itakuwa huru kumbe ni yaleyale maji ya futi kwa nyayo
Yahani wachaga wa Siha ndo hawajakeleka na upuuzi wa mgombea wa ccm?, Wachaga wamekuwaje siku hizi?Matokeo ya utafiti unaoendelea kusomwa muda huu na taasisi ya EARC (East Africa Research Center) imeonyesha Mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo katika jimbo la Kinondoni Ndg. Salum Mwalimu iwapo uchaguzi utafanyika leo ataibuka mshindi kwa asilimia 54.8%, Huku mgombea wa CCM Ndg. Said Mtulia akiambulia asilimia 45 za kura zote..
Kutokana na taasisi hiyo ambayo imefanya hojaji kwa watu 800, imeonekana idadi ya wapiga kura itashuka kutoka 83.6% (2015) mpaka asilimia 62.4%
Ndugu Paulo ambaye ni mtafiti mwandamizi kasema matokeo pia yanaonyesha kwa upande wa Siha mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 60~65 kwa makadirio ya juu na chini...
"Wananchi wengi wa Kinondoni hasa wamama, vijana na wazee wa hali ya kawaida wengi wao waliohojiwa walionyesha kukerwa kwao na Mtulia kuachia nafasi ambayo alikuwa nayo awali, kisha anagombea tena" sehemu ya tafiti huo unaeleza
Mzee baba, nimefurahishwa na comment yako, ukanifukulia na 'kaburi' la goli la mkono!Huu utafiti una baraka za Magogoni na wameshaona Kinondoni ni ngumu hivyo huenda wakakubali matokeo lakini kwa jimbo la Siha wamejipanga kushinda hata kwa goli la mkono.
Kwa kifupi hawako tayari kupata aibu ya kushindwa katika majimbo yote hivyo wameona Siha wakikoma wanaweza kufanya yao kuliko Kinondoni na lengo la huu utafiti ni kuwaandaa watu kisaikolojia na kutoa justfication ya matokeo ya hizi chaguzi mbili.
Mwaka wa 20 mnashiriki Uchaguzi ili kujua maovu? Hahahahahaha
Ubongo plaza iko mkoa gani mkuu?Matokeo ya utafiti unaoendelea kusomwa muda huu na taasisi ya EARC (East Africa Research Center) imeonyesha Mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo katika jimbo la Kinondoni Ndg. Salum Mwalimu iwapo uchaguzi utafanyika leo ataibuka mshindi kwa asilimia 54.8%, Huku mgombea wa CCM Ndg. Said Mtulia akiambulia asilimia 45 za kura zote..
Kutokana na taasisi hiyo ambayo imefanya hojaji kwa watu 800, imeonekana idadi ya wapiga kura itashuka kutoka 83.6% (2015) mpaka asilimia 62.4%
Ndugu Paulo ambaye ni mtafiti mwandamizi kasema matokeo pia yanaonyesha kwa upande wa Siha mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 60~65 kwa makadirio ya juu na chini...
"Wananchi wengi wa Kinondoni hasa wamama, vijana na wazee wa hali ya kawaida wengi wao waliohojiwa walionyesha kukerwa kwao na Mtulia kuachia nafasi ambayo alikuwa nayo awali, kisha anagombea tena" sehemu ya tafiti huo unaeleza
Kwelu mkuu, hata mimi nimeshaona wameangalia upepo wakaona hali si shwari upande wao, wakaona bora wafanye pre-emptying ili hata wakiiba kule Siha kuwe na neutralization in justification.Huu utafiti una baraka za Magogoni na wameshaona Kinondoni ni ngumu hivyo huenda wakakubali matokeo lakini kwa jimbo la Siha wamejipanga kushinda hata kwa goli la mkono.
Kwa kifupi hawako tayari kupata aibu ya kushindwa katika majimbo yote hivyo wameona Siha wakikoma wanaweza kufanya yao kuliko Kinondoni na lengo la huu utafiti ni kuwaandaa watu kisaikolojia na kutoa justfication ya matokeo ya hizi chaguzi mbili.
Mkuu hayo ni mambo ya utafiti na utafiti hauleti matikeo asilimia 100%Huu utafiti unaweza kusababisha vurugu maana ni kama Chadema wanaenda kupiga kura wakiwa na matokeo ya uchaguzi. Kwahyo matokeo yakitoka tofauti utata utaanzia hapo
Ushahidi slaa alikuwa nao mbona na fomu za mawakala nchi nzima ila aliishia kuzitolea povu kwenye press conference lakini kwa kuwa katiba haitoi fursa kwa matokeo kupingwa mahakamani ndio maana mmeishia kuita ni propagandaUnaruhusiwa kuamini propaganda Ila huruhusiwi kulazimisha hizo propaganda zako wengine waziamini kwa kuwa Wewe umeamini bila ya kuweka ushahidi reliable
Ushahidi slaa alikuwa nao mbona na fomu za mawakala nchi nzima ila aliishia kuzitolea povu kwenye press conference lakini kwa kuwa katiba haitoi fursa kwa matokeo kupingwa mahakamani ndio maana mmeishia kuita ni propaganda
Slaa ni Mwanasiasa na Kila asemacho Mwanasiasa sio lazima kuamini
Kweli akili yako ni ya kutembeza mwenge .Hivi hao wanaopigana congo, Syria ,South Sudan nk walipigana siku moja??
Unajilinganisha na hao wanaopigana wakati Wewe ulishindwa kukaa mita 200 kutoka kilipo kituo chako cha kupigia kura 2015, ukiambiwa kavamie Kambi ya Jeshi si mavi yatajaa kwenye pajama lako!