Zidumu fikra za mpaganMatokeo ya utafiti unaoendelea kusomwa muda huu na taasisi ya EARC (East Africa Research Center) imeonyesha Mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo katika jimbo la Kinondoni Ndg. Salum Mwalimu iwapo uchaguzi utafanyika leo ataibuka mshindi kwa asilimia 54.8%, Huku mgombea wa CCM Ndg. Said Mtulia akiambulia asilimia 45 za kura zote..
Kutokana na taasisi hiyo ambayo imefanya hojaji kwa watu 800, imeonekana idadi ya wapiga kura itashuka kutoka 83.6% (2015) mpaka asilimia 62.4%
Ndugu Paulo ambaye ni mtafiti mwandamizi kasema matokeo pia yanaonyesha kwa upande wa Siha mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 60~65 kwa makadirio ya juu na chini...
"Wananchi wengi wa Kinondoni hasa wamama, vijana na wazee wa hali ya kawaida wengi wao waliohojiwa walionyesha kukerwa kwao na Mtulia kuachia nafasi ambayo alikuwa nayo awali, kisha anagombea tena" sehemu ya tafiti huo unaeleza
AKISHINDA CHADEMA HATA MOJA NAHAMA NCHI...Sasa subiri polisi na NEC watoe matokeo ndo utashangaa
Safari hii ujinga wa kuiba kura hautapata upenyo wowote .Wao wasema, kwa hali ilivyo SALUMU MWALIMU 75%, MTULIA 15 NA CUF 10% wengine woote 0%..
Ila hapo bado hatujahesabu ghost voters, ukiweka ghost voters MTULIA 70%, SALUM 20%, CUF 5% na wengine watagawana hizo 5%.. Baada ya hapo kitakachofuata kila mtu anajua...
Hii ndio shida ya bongo kwahiyo ukifanya utafiti wako mwenyewe utajidanganya kwa faida ya nani sasa??? Kila chama kina ruhusa kufanya tafiti sasa kikipata matokeo yake kutokana na utafiti wao ina maana haiwi utafiti?? Ni vzuri ungeupata huo utafiti ili ukague sample zao wamezipataje na inclusiveness ilikuaje ili kujua kma utafiti una credibility lakini hoja ya kusema hiyo taasisi ni ya CHADEMA sioni kma ina mashiko"It's chadema's NGO. Zitto was once a Director"
Professor Kitila Mkumbo 25th September 2015
Tusubiri tuone
Liko wazi kabisa slaa alimuangusha kikwete 47% za slaa kulinganisha na kikwete 44% ..... Kma upo CCM na haulifahamu hili basi naweza elewa kwanni miaka 50 bado tupo maskiniHata Dkt Slaa kwenye 'Utafiti' humu JF alikula 70% ya kura zote lakin Matokeo kutoka 2010 akaota kuna Kontena la kura deki limetoka China na kushushiwa Tunduma sio Dar!
Tuwe wa kweli tu nipe sababu moja kwanni wananchi wamchague Mtulia?? Yaani anaahidi makubwa kwamba atafanya ndani ya miaka 2 iliobaki ilihali aliyoahidi 2015 mpaka ssa hata moja hajatimiza hivi watakaompigia kura watakuwa na sababu gani tukiachana na wale CCM kindaki ndaki walio wachache ambao kwao chama kwanza taifa baadae!!Chadema wanahangaika sana na kinondoni
Kushindwa kwa chadema kinondoni kutakua ni aibu kubwa sana kwa mbowe na kamati kuu yake baada ya kukurupuka na kuteua mgombea ambae si mkaazi wala mpiga kura wa kinondoni
Mpaka sasa chadema imejihakikishia kwa 100%,itakosa kura moja ya mgombea wake!
Endeleeni tu kuyaandaa kisaikolojia makarai,ili mtakaposhindwa ionekane mmeibiwa kura
Liko wazi kabisa slaa alimuangusha kikwete 47% za slaa kulinganisha na kikwete 44% ..... Kma upo CCM na haulifahamu hili basi naweza elewa kwanni miaka 50 bado tupo maskini
Matokeo ya utafiti unaoendelea kusomwa muda huu na taasisi ya EARC (East Africa Research Center) imeonyesha Mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo katika jimbo la Kinondoni Ndg. Salum Mwalimu iwapo uchaguzi utafanyika leo ataibuka mshindi kwa asilimia 54.8%, Huku mgombea wa CCM Ndg. Said Mtulia akiambulia asilimia 45 za kura zote..
Kutokana na taasisi hiyo ambayo imefanya hojaji kwa watu 800, imeonekana idadi ya wapiga kura itashuka kutoka 83.6% (2015) mpaka asilimia 62.4%
Ndugu Paulo ambaye ni mtafiti mwandamizi kasema matokeo pia yanaonyesha kwa upande wa Siha mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 60~65 kwa makadirio ya juu na chini...
"Wananchi wengi wa Kinondoni hasa wamama, vijana na wazee wa hali ya kawaida wengi wao waliohojiwa walionyesha kukerwa kwao na Mtulia kuachia nafasi ambayo alikuwa nayo awali, kisha anagombea tena" sehemu ya tafiti huo unaeleza
Unaruhusiwa kuamini propaganda Ila huruhusiwi kulazimisha hizo propaganda zako wengine waziamini kwa kuwa Wewe umeamini bila ya kuweka ushahidi reliable